hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,622
- 63,117
Eti nini wewe!? Kwamba kJ anamuiga wakazi kuflow hiki kichekesho Cha karneKutoka Kayole hapo alipofika imetosha, kwanza anamuiga Wakazi tu... disrespect the OG.
Eti nini wewe!? Kwamba kJ anamuiga wakazi kuflow hiki kichekesho Cha karneKutoka Kayole hapo alipofika imetosha, kwanza anamuiga Wakazi tu... disrespect the OG.
Jamaa Wana balaaCamp mulla mwanzon nlivowasikia nlijua ni wa mbele!
Aaahh sarkodie Ni mtu na nusuIla kakalishwa na Sarkodie kwenye hii ngoma
Eti Nini wewe !? Kwamba kJ anamuiga wakazi kuflow hiki kichekesho Cha karne