Khali ngumu ya kiuchumi NAMTOA private school nimrudishe Government school

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Habari wanajf mtoto wa sister inabidi tumrudishe shule ya Government baada ya mambo kutokwenda vizuri Ada nk

Naomba msaada hatua gani za kufuata ili kuweza kumhamisha shule? lakini ni shule gani nzuri (ikipatikana Kanda ya Ziwa) au mikoa ya Jirani itapendeza

NB: shule ya secondary

Naomba msaada wenu yupo kidato cha Tatu
 
Nenda katika shule unayotaka kumhamishia huyo mtoto huko utapewa taarifa ya kukubaliwa kwamba mwanao amepata nafasi..utaandikiwa barua na utaenda shule unayotaka kumuhamisha

Peleka picha pasport size kama 6 hivi, utaandaliwa uhamisho

Baada ya hapo utapewa fomu za uhamisho utapeleka kwa afsa elimu kata atasaini, then utaenda kwa afsa elimu wilaya
Hapo utakua umemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mkuu
 
Habari wanajf mtoto wa sister inabidi tumrudishe shule ya Government baada ya mambo kutokwenda vizuri Ada nk

Naomba msaada hatua gani za kufuata ili kuweza kumhamisha shule? lakini ni shule gani nzuri (ikipatikana Kanda ya Ziwa) au mikoa ya Jirani itapendeza

NB: shule ya secondary

Naomba msaada wenu yupo kidato cha Tatu
Hilo sasa unakwenda kumchanganya akifeli usimlaum, primary wamerudi wengi tu hadi mtoto wa mwenyekiti wangu wa serikali ya mtaa tunaimba wote ule .. wa mbele kwa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom