Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

Nilivyoambiwa huyu ni Me kiukweli nilibaki mdomo wazi. Jamaa ni mrembo sana ata Dada zetu wengi hawamfikii
Nahisi hata mwenyewe hataki kuwa mwanaume. Na hana uzuri (handsomeness)ila anajiremba kama mwanamke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom