instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Hatakuwa punga huyo.Kwaiyo we hushangai mwanaume kuwa hivyo. we ndo unatia mashaka. Mi katika maisha yangu yote sikutarajia kuona mwanaume mrembo namna hiyo aisee kuliko hata dada zetu
Kwamba ukiwa mwanaume huwezi one mtu kuwa ni handsome au hapana?
Mie nimejenga hoja kuwa ukiongelea uzuri WA mwanaume ni kuwa na muonekano wa kiume sio wa kike