IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,216
- 1,906
Asante kwa ushauri.dah,we ngeli bado kabisa aisee..na hutojua sababu huna msingi mzuri,tumia internet kujifunza kiingereza taratibu
Asante kwa ushauri.dah,we ngeli bado kabisa aisee..na hutojua sababu huna msingi mzuri,tumia internet kujifunza kiingereza taratibu
Lakini jamaa ni mrembo. Unakubali unakataa?Hapo Hakuna Mwanaume Kuna TatizoLa WaziWazi
Huhitaji Elimu Ya Chuo Kikuu Kulibaini, Ubwabwa Huo
Siyo mm bro! we unafikiri mi ningekuwa hvyo ningehitaji kutangaza nmb wakati huyo wanamfuata tu alivyojiremba hivyo ahangaike vipi kutafuta sokondio wewe!weka namba ya simu
Ndo sijui labda ningebadili heading niseme kumbe bongo kuna wanaume ni warembo aisee. Mi nilijuaga ni James peke yake kumbe wapo na wenzake anaochuana naoShoga naye ni Mwanaume mzuri?
Dah aisee hii picha yaan mchz ndo katuacha Chelsea.Huyo ni mrembo .hakunaga wanaume warembo.
Labda kuna wanaume mahandsome ambao wanamuonekano wa kiume kama huyu Eden hazard.View attachment 1128819
Nilikuwa kama wewe nikabisha mpk nilipoonyeshwa pch zingine anandevu kabisaHuyu wa kike sema umeamua kuvuta watamazaji
Yap ametuachia simanzi.Dah aisee hii picha yaan mchz ndo katuacha Chelsea.
Huyo ni mrembo .hakunaga wanaume warembo.
Labda kuna wanaume mahandsome ambao wanamuonekano wa kiume kama huyu Eden hazard.View attachment 1128819
Mbongo huyo amini kwamba. Halafu kuna wanaojidanganya eti Bongo ushoga haujaenea. Aisee nawahurumia sana madogo wanaokuwa zama hizi hasa wakazi wa Dar wapo hatarini sana kukumbana na masuala ya ushoga kwa kujua au bila kujua watajikuta wamo ndaniTutakuaminije kua huyo ni mbongo?
Anyway ushoga ni laana.
Kwaiyo we hushangai mwanaume kuwa hivyo. we ndo unatia mashaka. Mi katika maisha yangu yote sikutarajia kuona mwanaume mrembo namna hiyo aisee kuliko hata dada zetumwanaume unapoongelea uzuri/urembo wa mwanaume mwenzio unakua unatia mashaka
Mane mgodi ukitema unakamata huyo mtoto unamuweka ndani, kazi yake inakua ni kubinuabinua tu midomo halafu we unamuangalia.
Katoto kama hako hakafai hata kukapa kazi ngumu, maana hata kakishika remote unakua na wasiwasi kanaweza kakaumia...lol
Nimestaajabishwakwamba umevutiwa na uhandsome wa mwanaume mwenzio sio?
Katoto kama hako hakafai hata kukapa kazi ngumu, maana hata kakishika remote unakua na wasiwasi kanaweza kakaumia.
Kwa nini unafikiria negative kila muda.kwamba umevutiwa na uhandsome wa mwanaume mwenzio sio?
Ah qummmm*ko! hv wabongo mnaelewa mambo. Huyo mi nimemuona IG nikadhan ni demu fln mkali ile kumzoom profile yake ndo nikagundua ni Me kwenye comments. So kwa kustaajabu ndo nikajikuta nimeshea na wadau nao washangae. Asa fala kama wew huelewi nini unaanza kusema mi mmoja wao kivipi, najitangaza kwa nan?Inaoneka kibovu kichwa nawe ni wa kundi hilo unajitangaza. Nenda taratibu tafadhali.
sasa huyo kwenye picha sio mwanaume ni kitoto chenye asili ya kiume, hicho kwa hizo lips zake unakipa kazi moja tu ya kupiga deki, halafu ukitaka suluba ya maana unawatafuta kina MguguMie napenda wanaume wagumu..nyonde nyode namwachia@demiss...unashikwa na mwanaume asbh ht kupiga mswaki unahis kufariki...unakuwa unaona maruwe ruwe tu...kula huwez..huna ngv kbs..hehehehe....sio nakesha na ww asbh naamkia maduarani kupiga chabo
Huyo mchizi wala hatujuaniHivi kibovu kichwa na Kichwa Kichafu ni ndugu!?