Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

Tutakuaminije kua huyo ni mbongo?

Anyway ushoga ni laana.
Mbongo huyo amini kwamba. Halafu kuna wanaojidanganya eti Bongo ushoga haujaenea. Aisee nawahurumia sana madogo wanaokuwa zama hizi hasa wakazi wa Dar wapo hatarini sana kukumbana na masuala ya ushoga kwa kujua au bila kujua watajikuta wamo ndani
 
mwanaume unapoongelea uzuri/urembo wa mwanaume mwenzio unakua unatia mashaka
Kwaiyo we hushangai mwanaume kuwa hivyo. we ndo unatia mashaka. Mi katika maisha yangu yote sikutarajia kuona mwanaume mrembo namna hiyo aisee kuliko hata dada zetu
 
Katoto kama hako hakafai hata kukapa kazi ngumu, maana hata kakishika remote unakua na wasiwasi kanaweza kakaumia.


Mie napenda wanaume wagumu..nyonde nyode namwachia@demiss...unashikwa na mwanaume asbh ht kupiga mswaki unahis kufariki🚴🚴...unakuwa unaona maruwe ruwe tu...kula huwez..huna ngv kbs..hehehehe....sio nakesha na ww asbh naamkia maduarani kupiga chabo😏😏😏
 
Inaoneka kibovu kichwa nawe ni wa kundi hilo unajitangaza. Nenda taratibu tafadhali.
Ah qummmm*ko! hv wabongo mnaelewa mambo. Huyo mi nimemuona IG nikadhan ni demu fln mkali ile kumzoom profile yake ndo nikagundua ni Me kwenye comments. So kwa kustaajabu ndo nikajikuta nimeshea na wadau nao washangae. Asa fala kama wew huelewi nini unaanza kusema mi mmoja wao kivipi, najitangaza kwa nan?
 
Mie napenda wanaume wagumu..nyonde nyode namwachia@demiss...unashikwa na mwanaume asbh ht kupiga mswaki unahis kufariki...unakuwa unaona maruwe ruwe tu...kula huwez..huna ngv kbs..hehehehe....sio nakesha na ww asbh naamkia maduarani kupiga chabo
sasa huyo kwenye picha sio mwanaume ni kitoto chenye asili ya kiume, hicho kwa hizo lips zake unakipa kazi moja tu ya kupiga deki, halafu ukitaka suluba ya maana unawatafuta kina Mgugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom