Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

Sipendi ushoga .....
but hilo neno 'laana'nadhani limepitwa na wakati....maana mizungu ina practice ushoga kila siku na bado ina neema kuliko waafrika......
Utakua unalitafsiri vingine hilo neno laana,
Laana ni yale yote yanayomchukiza Mungu,Laana sio kua na mabalaa au maisha magumu,Mungu hutoa riziki kwa watu wote.
 
The shoulders are not developed like he is a men. If his man hood is because he has pennis I must agree to it otherwise am looking at a female
dah,we ngeli bado kabisa aisee..na hutojua sababu huna msingi mzuri,tumia internet kujifunza kiingereza taratibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom