Khaa jamani hivi u modo huu bongo unalipa?

Mbona haonekani sura aisee ndo nini hii kitu

62755_118165901571379_100001339101765_94082_7530971_n.jpg
 
Mwache mtoto mzuri Fide , ila hao male models angalia jinsi wanavyo pozi kama ma gays vile , ebwana Martin Kadinda , Van Kvn David hebu mkiwa kwnye pozi na wenzako please weka ukakamavu kidogo angalau , sio unaonekana umelegea na umesimama kama demu .
 
HO IS SHE?
MALE OR FIMALE?
HAONEKANI SURA
SO HUWEZI KUJUA NI DUME AU JIKE?:laugh:
 
Mwache mtoto mzuri Fide , ila hao male models angalia jinsi wanavyo pozi kama ma gays vile , ebwana Martin Kadinda , Van Kvn David hebu mkiwa kwnye pozi na wenzako please weka ukakamavu kidogo angalau , sio unaonekana umelegea na umesimama kama demu .

we vipi,unataka wawe wakakamavu wakati washakuwa walegevu,kuna wanaume kweli mle,mbona Aba one hakuwa kama wao...
 
nyie hapo juu embu tulieni,hatuko ulaya wanakohusudu wenye miili membamba,...
na pia bado maswala ya diet hayajapewa kipaumbele vya kutosha huku kwetu,
so average wanawake wengi wanafall ktk kundi la wanene!!!....huyo fide ukifanya utafiti kawazidi wengi tu kwa umbo zuri,wekeni hapa picha za dada zenu na mama zenu tuwaone kama mnabisha!!???!:twitch:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom