Kha..! Nyie BAKWATA kulikoni..?

Status
Not open for further replies.

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
 
waislam tumeshaistukia kwamba bakwata sio chombo cha kusimamia na kuendeleza uislam bali kiliundwa mahsusi kwa ajili ya kuwagawa waislam na maamuzi yote wanayapata ccm na serikalini, bakwata ni kichefu chefu.
 
Inategemea unasikiliza redio gani, Clouds tayari wameshatangaza zamani sana.
 
Umeona ee...yani hawa mashekhe hawaogopi hata kucheza na imani za watu...hivi inakuaje? Na nina hakika taarifa za mwezi wamezipata sasa kwa nini wazikalie jamani? Wakati mwingine unaona ni bora hata wale wasuni mana wana msimamo sana
 
Inategemea unasikiliza redio gani, Clouds tayari wameshatangaza zamani sana.

Bakwata huwa wanatangaza redio tanzania, sasa huko clouds mtu wa nanjilinji atapata habari kweli? Hawa jamaa wababaishaji kweli. Hebu tujuze kwahiyo clouds wameconfirm kesho ni mapumziko?
 
naamini faiza foxy sii mwanamke na sii muislam.atasemaje bakwata wanapata maamuzi kutoka kanisani sii kuwatukana bakwata? mhh makubwa.KANISA linahusikaje na bakwata wajamini? tusubirie kesho asubuhi au sikiza news TBC saa sita usiku huu utakua ukweli.
 
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
aseeee!!
Kanisa gani hilo linatoa maamuzi na directives kwa BAKWATA?
Au ndo maana BAKWATA NA KANISA WANAUZA MADAWA YA KULEVYA?

Aseee!
Duh!
 
Ndio maana wanafanya njama kuhakikisha waislam wanfarakana katika kila jambo hata katika ibada zao.
Zote ni athari za mfumo kristo ila mwisho wake unakuja karibuni.
 
Nyie mmeona ila viongozi hawajaona so sibirini mpaka waseme wao. Swali je kwa aliyeona afanyaje kesho?
 
Wakuu officialy according to BAKWATA kesho Waislamu nchini wanakamilisha siku 30 za mwezi mtukufu na eid itakuwa jtano. Hekima ya mwezi mtukufu ni kuwa watu wafunge kwa pamoja na wafungue pamoja katika eneo husika na kuna chombo maalum cha kutangaza mwezi sio kila mtu tu wengine waweza danganya watu ili wafuate matakwa yao.
KWA WAISLAMU:ni muhimu kuheshimu mamlaka inayowaongoza ukizingatia wengi wao hawana ufahamu mkubwa kuhusu masuala ya dini hiyo.
 
Wakuu officialy according to BAKWATA kesho Waislamu nchini wanakamilisha siku 30 za mwezi mtukufu na eid itakuwa jtano. Hekima ya mwezi mtukufu ni kuwa watu wafunge kwa pamoja na wafungue pamoja katika eneo husika na kuna chombo maalum cha kutangaza mwezi sio kila mtu tu wengine waweza danganya watu ili wafuate matakwa yao.<br />
KWA WAISLAMU:ni muhimu kuheshimu mamlaka inayowaongoza ukizingatia wengi wao hawana ufahamu mkubwa kuhusu masuala ya dini hiyo.
Hivi wewe unajua Uislam kweli au unaleta porojo zako za CCM!
Kwa taarifa yako kesho dunia nzima ni EID kasoro Tanzania tu. Usipotoshe watu hapa JF, hao BAKWATA wako nani kawapa mamlaka ya kuwasemea Waislam wa Tanzania! Ningekujibu zaidi sema hapa sio mahali pake, ebu pitia hii site uone kesho ni siku gani kwa Waislam dunia nzima. www.isna.net
 
  • Thanks
Reactions: mwl
Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa

Kwani weye upo wapi? Naona BAKWATA hawapo Nachingwea.

Hivi kwanini allah anasubiri usaidizi wa Mwezi? Mimi nilifikiri kuwa Allah hana msaidizi, kumpe mpaka mwezi. Khaaaaaaa
 
Hivi wewe unajua Uislam kweli au unaleta porojo zako za CCM!
Kwa taarifa yako kesho dunia nzima ni EID kasoro Tanzania tu. Usipotoshe watu hapa JF, hao BAKWATA wako nani kawapa mamlaka ya kuwasemea Waislam wa Tanzania! Ningekujibu zaidi sema hapa sio mahali pake, ebu pitia hii site uone kesho ni siku gani kwa Waislam dunia nzima. ISNA.NET - main page
Sasa wengine tukisemaga hii dini ya ALLAH ni ya kutia mashaka tunaonekana kama wadini, sasa hii nini maana yake? Ina maana dini ya kiislamu haina kiongozi wa kidunia kule Saudia anaeunganisha waislamu na akawa ndio mtoa mwongozo kwa Waislamu duniani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom