mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176
Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
waislam tumeshaistukia kwamba bakwata sio chombo cha kusimamia na kuendeleza uislam bali kiliundwa mahsusi kwa ajili ya kuwagawa waislam na maamuzi yote wanayapata ccm na serikalini, bakwata ni kichefu chefu.
Inategemea unasikiliza redio gani, Clouds tayari wameshatangaza zamani sana.
aseeee!!Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Wametangaza kuwa kesho ni sikukuu?Inategemea unasikiliza redio gani, Clouds tayari wameshatangaza zamani sana.
Wametangaza kuwa kesho ni sikukuu?
Wametangaza kuwa kesho ni sikukuu?
<br />Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Hivi wewe unajua Uislam kweli au unaleta porojo zako za CCM!Wakuu officialy according to BAKWATA kesho Waislamu nchini wanakamilisha siku 30 za mwezi mtukufu na eid itakuwa jtano. Hekima ya mwezi mtukufu ni kuwa watu wafunge kwa pamoja na wafungue pamoja katika eneo husika na kuna chombo maalum cha kutangaza mwezi sio kila mtu tu wengine waweza danganya watu ili wafuate matakwa yao.<br />
KWA WAISLAMU:ni muhimu kuheshimu mamlaka inayowaongoza ukizingatia wengi wao hawana ufahamu mkubwa kuhusu masuala ya dini hiyo.
Jamani hawa bakwata mbona hawatangazi mwezi? Mwezi umeonekana mtwara na baadhi ya maeneo ya kusini.....nashindwa kuwaelewa hawa watu nao wameshikwa na magamba tatizo....pumbafu sana hawa
Walikuwa wanapata maamuzi kutoka Serikalini wakati wa Nyerere, kwa sasa wanapata kutoka kanisani!
Sasa wengine tukisemaga hii dini ya ALLAH ni ya kutia mashaka tunaonekana kama wadini, sasa hii nini maana yake? Ina maana dini ya kiislamu haina kiongozi wa kidunia kule Saudia anaeunganisha waislamu na akawa ndio mtoa mwongozo kwa Waislamu duniani?Hivi wewe unajua Uislam kweli au unaleta porojo zako za CCM!
Kwa taarifa yako kesho dunia nzima ni EID kasoro Tanzania tu. Usipotoshe watu hapa JF, hao BAKWATA wako nani kawapa mamlaka ya kuwasemea Waislam wa Tanzania! Ningekujibu zaidi sema hapa sio mahali pake, ebu pitia hii site uone kesho ni siku gani kwa Waislam dunia nzima. ISNA.NET - main page