Kha! Ebu ikulu TZ jifunzeni Zanzibar jinsi walivyo na website nzuri....ushauri tu...itaondoa aibu...

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
Katika pitia pitia habari za hapa na pale kwenye web sites za TZ nimegundua ikulu ya zenj...yaani ofisi ya rais zenj wana web site yenye mvuto saana......yaani inaonyesha watu wako serious na wanachofanya....yaani web site ime accomodate info zote ambazo ni muhimu kwa introduction ya nchi kwa mtu yoyote pale alipo duniani anaweza ku access hizo info bila taabu....Katika kujua ni watu gani wamewatengenezea web yao nimegundua ni kampuni moja kali sana...i think the best in TZ inayoitwa..Link Tanzania - Website Designing Studio...yaani hawa jamaa ni very very impressive...hawa ndo wametengeneza some of the best web sites tulizo nazo TZ currently.....kuanzia hiyo ya ikulu zenj(pamoja na kwamba kuna links ziko under construction) ....wizara ya ujenzi/miundombinu....repoa....etc etc....yaani kwa kifupi hawa jamaa wanajali quality.....
My take:
  • Ni lini sasa ikulu ya TZ watakuwa serious katika kuboresha web yao ili iwe kivutio kwa kila mtu anayetaka ku access info za nchi ya TZ...na haswa kujua movements na activities za rais wa TZ...na kuepuka watu kushtukizwa juu ya activities z rais na hata kupelekea watu kuhisi kuwa zinafichwa kwa makusudi!!
  • Kwa msaada tu ikulu...wawatumie hawa jamaa...Link Tanzania - Website Designing Studio...hawa ndio wametengeneza web ya zenj ambayo ni very very attractive...hii hapa..Zanzibar — President's Office and Chairman of Revolutionary Council
  • Huu ni ushauri tu...you can take it or leave it.......yaani hata zenj wanatuzidi!!!..infact nimesoma kuwa zenj mfumuko wa bei kwasasa uko chini kuliko bara.....zenj wanaondoka hivyo!!
 
Mkuu unapokuwa na mkurugenzi wa mawasialiano aliyepata kazi kama payback ya kuwapaka matope waliokuwa wapinzani wa anayeongoza leo usitarajie mambo ya advancement. Kila kitu huenda na qualifications.

Kinaochoiua Tanzania ni nepotism badala ya peofessionalism.
 
Back
Top Bottom