KEYBOARD IMEJILOKI

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,561
3,557
Habari za mida hii Wakuu, Wajuzi na wataalamu ndani ya JF....!!?

NAOMBENI MSAADA WENU JAMANI, Dogo katika kuchezea chezea Kompyuta (akijivinjari na Games) amejikuta AMELOKI KIBODI UPANDE MMOJA..

Ni upande wa CALCULATER unao fanya kazi....

Nashindwa kufanya TYPEWRITING..

NAOMBENI MSAADA WENU WAJUVI...
 
mkuu bonyeza ctrl,alt,shift,del vyote kwa mara moja itafunguka,au angalia numlock kama ipo on i`switch off itafunguka...
 
Joseverest Wa hii thread
Joseverest wa kweli, naomba upitie na huku, kwenye fani ya GEREJI....
a469a5d4fa6f8c6f214aefff8575b754.jpg

N ahitaji msaada kwelikweli..

Kipande kinacho fanya kazi ni huo upande wa CALCULATER TU..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom