Kesi za kupinga matokeo ya ubunge.......kuna nini nyuma ya pazia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi za kupinga matokeo ya ubunge.......kuna nini nyuma ya pazia?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by CHAI CHUNGU, May 4, 2012.

 1. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Wakuu kumekua na kesi mfululizo za kupinga matokeo ya chaguzi za ubunge hasa ktk matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita,binafsi sijui ni nini tatizo.Ebu wewe unayafahamu japo kidogo nijuze.Maana mara leo mnyika,mara kafumu,jana lema na makongoro mahanga,mara kafumu wa igunga sasa kesho utaskia tena Slaa siyo raia wa tz.
  Nawakilisha:
   
Loading...