Kesi za barabarani; Trafiki bongo wamepewa mamlaka makubwa mno wakiamua wanaweza hata kukutandika makofi na usiwafanye kitu kama huna ushahidi

Ndo wanapofail! halafu wakitoka madarakan wakija fanyiwa wao wanalalama!
Unakumbuka sakata la Mkuu wa Mkoa wa mara walivyomtolea siraha

= silaha

Silikumbuki wala silijuwi.

Nakumbuka Nape tu alivyotolewa silaha.
 
kwani za mzigo si zinajulikana zina plate number nyeupe? au hata ukiwa nayo binafsi lazima upigwe faini?
wannangalia ikiwa Zaidi ya kilo 500 basi unapigwa fine iwe ya matumizi binafsi au biashara. namba nyeupe maana yake ni ya biashara wao wanaangalia uzito wa pick yako tuu. Dhuluma kubwa Zaidi hata kama hujabeba mzigo wao wanaamini kuwa umenunua kwa ajili ya ujasilia mali… duuu siku ya hukumu sijui watatokea wapi?
 
Kuna Traffic pale Kimara Baruti alimkamata mdada mtumishi wa serikali, yule dada ktk kujielezea akatoa na ID ya ofisi wkt huo tayari yule askari kashachukua driving licence! Mwisho traffic karudisha driving licence lkn ID kagoma! (Ila mdada ana tackle huyoooo)
 
Sasa usajili huwa unamaanisha nn
 
Kuna Traffic pale Kimara Baruti alimkamata mdada mtumishi wa serikali, yule dada ktk kujielezea akatoa na ID ya ofisi wkt huo tayari yule askari kashachukua driving licence! Mwisho traffic karudisha driving licence lkn ID kagoma! (Ila mdada ana tackle huyoooo)
huyo Dada alishindwa hata kutumia tako lake aachiwe!
 
Back
Top Bottom