mujungu
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 137
- 225
Tanzania tuko digitali lakini hapa tuliwahi sana, kwani picha inavunjika vunjika ile mbaya hadi nashindwa sikiliza hoja vizuri. Hoja muhimu ya wakili wa utetezi ni haki ya kikatiba ya kupata habari. Kwa hili TZ haki hii ya kikatiba ilikanyagwa. Ving'amuzi havijatulia kabisa , picha zinavunjika kwelikweli sijui mikoa mingine , kwa Arusha ni kero.