Kesi ya Zombe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Zombe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOBISO, Dec 27, 2010.

 1. J

  JOBISO Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa nafuatilia kiasi fulani juu ya utata wa kessi hii Maarufu ya Zombe.
  Kumbukumbu Zangu hadi mwisho serikali ilijigamba kukata rufaa juu ya Maamuzi haya yaliyoacha maswali kwa umma.
  Naomba wajuzi wa sheria au yeyote mwenye kumbukumbu nzuri anijuze iliishia wapi au sie Wamehenge tulie tuuuuuuuuuuuu?
   
Loading...