Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

Mchawi wetu ni wanachadema wenyewe wapenda haki wa chadema na wazurumaji haki wa chadema kod za uanachama wote tunatoaa!
 
Usitishe mtu hapa. Shughuli za cdm zinaendelea kawaida na tuliyajua haya.

Ndugu nikweli yako kabisa, kwani hivi sasa Mbowe hapa Arusha anafanya vikao vingi vya siri na wale wajumbe wa cc ambao ni mali yake, wakimshauri cha kufanya:

A) Kutafuta mbinu ya kujihami na kashfa zilizo tolewa na ZZK, Simu nyingi kwa Mkono na Rostam zimepigwa wakishawishiwa wakane shtuma za zzk kuhosu miji pesa aliyopewa.

B) Kujipanga kuhakikisha kwamba hapati upinzani kwenye kiti chake, ambacho hivi sasa hatari kubwa inatoka kwa upande ya familya ya mzee mtei. Hiyo familia imevunjika pande mbili, moja ikimuunga mkono binti ya mtei ambaye ni separated wife wa mbowe, ambaye anataka mbowe aondolewe kwenye uongozi, na ile ya mzee mwenyewe ambaye hana budi bali kumuunga mkono mbowe kuendelea na cheo hicho.

c) kujenga mikakati ya kuwazui akina slaa na group yake kutumia fursa hii ile kuweza kuwa na power zaidi ya group ya Mbowe ambayo kwa sasa imeshaingia doa na inatetereka.

Now in CDM is the survival of the fittest. na inavyoelekea karatu team wameanza kupata points nyingi. Ukimya wao ni moja ya mipango ya kuhakikisha kashfa za mbowe hazi zimiki.
 
nguvu ya zito ulyoiona wewe ni ipi,? wewe ni moja ya washamba katika siasa, uko kwa ajili ya watu/mtu badala ya kufuata sera za chama husika. use your head to think not ma------. hata mahakama itoe uamuzi gani tunachojua huyu mnafiki sio MEMBER WA M4C TENA! kama ni ngumu sana kuamini jitundike.
 
Read between lines!

Si busara ku-comment bila kuelewa kilichoandikwa!
 
We ni mshamba sana unaem dis mbowe na chadema ! Unatumia akili yako vibaya jaribu kujitambua ata kidogo
 
Naomba niseme tu yaliyokuwa yanaendelea na yanayoendelea mpaka muda huu kuhusu kesi ya Zitto nje ya mahakama na hata kupitia baadhi ya vyombo vya habari, ni mkakati wa makusudi wa maadui wa CHADEMA wanaojifanya ni wapenzi na mashabiki wa Zitto wenye lengo la ku-influence mahakama itoe uamuzi unaolenga kumbeba Zitto.

Zitto kama Zitto hawezi kuwa na nguvu kiasi hiki na isitoshe jambo hili linahitaji matumuzi makubwa ya fedha na rasilimali watu.Huu bila shaka ni mkakati unaoungwa mkono na baadhi ya vyama vya siasa na matajiri "uchwara" kadhaa wa ndani ya nchi.

Haihitaji kuwa na degree kubaini ukweli huu bali ni swala la kusoma ushahidi wa kimazingira tu(circumstantial evidence)

CHADEMA,kwa sasa adui yenu si Zitto tu,bali adui yenu mkubwa ni mtandao ulio nyuma ya Zitto.[/QUOTE
Adui mkubwa na wa hatari sana wa CDM ni Uongozi wa CDM pamoja na vijana wasiojitambua na wasio na kazi wa CDM ambao wamejipachika "uintelijensia". Adui mkubwa wa CDM yupo ndani ya CDM, na si ZZK, si CCM, si CUF,si TISS,si Lowassa.
 
Naomba niseme tu yaliyokuwa yanaendelea na yanayoendelea mpaka muda huu kuhusu kesi ya Zitto nje ya mahakama na hata kupitia baadhi ya vyombo vya habari, ni mkakati wa makusudi wa maadui wa CHADEMA wanaojifanya ni wapenzi na mashabiki wa Zitto wenye lengo la ku-influence mahakama itoe uamuzi unaolenga kumbeba Zitto.

Zitto kama Zitto hawezi kuwa na nguvu kiasi hiki na isitoshe jambo hili linahitaji matumuzi makubwa ya fedha na rasilimali watu.Huu bila shaka ni mkakati unaoungwa mkono na baadhi ya vyama vya siasa na matajiri "uchwara" kadhaa wa ndani ya nchi.

Haihitaji kuwa na degree kubaini ukweli huu bali ni swala la kusoma ushahidi wa kimazingira tu(circumstantial evidence)

CHADEMA,kwa sasa adui yenu si Zitto tu,bali adui yenu mkubwa ni mtandao ulio nyuma ya Zitto.

Hapo umenena. Kuna watu (vyama) nyuma ya Zitto, hayo yanafahamika.
 
Acha woga! ZITTo aliwaonya sana, mkajifanya vichwa maji! Muli-undersestimate nguvu ya ZITTO! Subiri matokeo tu!

Kama huyo Zitto ana nguvu sana mnasubiri nini msimchukue katika chama chenu cha mizigo kwani na yeye si mzigo kama mlivyo ninyi?
 
Naomba niseme tu yaliyokuwa yanaendelea na yanayoendelea mpaka muda huu kuhusu kesi ya Zitto nje ya mahakama na hata kupitia baadhi ya vyombo vya habari, ni mkakati wa makusudi wa maadui wa CHADEMA wanaojifanya ni wapenzi na mashabiki wa Zitto wenye lengo la ku-influence mahakama itoe uamuzi unaolenga kumbeba Zitto.

Zitto kama Zitto hawezi kuwa na nguvu kiasi hiki na isitoshe jambo hili linahitaji matumuzi makubwa ya fedha na rasilimali watu.Huu bila shaka ni mkakati unaoungwa mkono na baadhi ya vyama vya siasa na matajiri "uchwara" kadhaa wa ndani ya nchi.

Haihitaji kuwa na degree kubaini ukweli huu bali ni swala la kusoma ushahidi wa kimazingira tu(circumstantial evidence)

CHADEMA,kwa sasa adui yenu si Zitto tu,bali adui yenu mkubwa ni mtandao ulio nyuma ya Zitto.

Mkuu salary slip,hata haya uliyo yaandika yanaweza ku influence uamuzi pia,ikishafika mahakamani tuiachie mahakama
 
Mbona hata kesi yenyewe imechongwa na hao hao ambao tayari tushawajua,ila wachunge wasije kuingia wenyewe make yamewashinda ya kwao wameona kwa mgongo wa CDM labda watatoka ..itakula kwao hao na mbunge wao wa CCM
 
nguvu ya zito ulyoiona wewe ni ipi,? wewe ni moja ya washamba katika siasa, uko kwa ajili ya watu/mtu badala ya kufuata sera za chama husika. use your head to think not ma------. hata mahakama itoe uamuzi gani tunachojua huyu mnafiki sio MEMBER WA M4C TENA! kama ni ngumu sana kuamini jitundike.

Tatizo mtu akipishana na bavicha tu basi...mwenzio katolewa jicho
 
Kwa sakata hili, imesaidia sana kwa Zitto Zuberi Saliti Kabwe kusaidia umma kufahamu kuwa he was not a dedicated opposition leader!!!! Saliti na haini hili. Tumekudharau kuliko kimba cha chooni. Ona post zako chafu na mbaya kama sura yako!!! Shame on you!!!!! CDM tuliwaambia mfukuzeni huyu siku nyingi mkawa mnachelewa mkampa nafasi ya kuharibu sana chama kupitia dili za ughaidi na mengine. But nina imani CDM will florish, florish forever!!!!
 
Lazima magamba wako nyuma yake nasikia ana kama bilion 40 anataka kuzunguka nchi nzima na atakua na yule jamaa aliyezusha njama za ugadi
 
Back
Top Bottom