jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 8,814
- 7,589
BABU uko vizuri...Ni vigumu sana kumuelewesha mtu aliyeamua kutokuelewa. mfano mzuri ni hawa Ukawa fanatics
BABU uko vizuri...Ni vigumu sana kumuelewesha mtu aliyeamua kutokuelewa. mfano mzuri ni hawa Ukawa fanatics
Na ni vipi kuhusu sukari?Wacha blabla. BoT walisema uchumi umekua 5.8% yeye kasema hiyo imepikwa uhalisia ni 0.1%. Alipataje? Alituma lagged data, ya July mwaka jana, kaiweka May, kalinganusha na ya July hii. Hana uzoefu; wala hajui; anajisemea tu. Kwa nini asibebe msalaba wake? Ni sawa na wewe una cheti cha kuzaliwa tarehe 10 Juni 1947 aje kichaa mmoja aseme cheti chako kimepikwa, eti uluzaliwa tare 7 Septemba 1957. Wewe hapo utajisikiaje? Tuache ushabiki, ni kosa kubwa.
Acha uongo...dunia nzima ipi?Inaonekana huelewi wewe!!!! Takwimu dunia nzima zinatolewa na mtakwimu mkuu kwa wakati uliopangwa na huwa zinatolewa katika vyombo vya habari kama mfumko wa bei etc (nbs.go.tz).
Kila kitu kina msemaji wake hata kaya ina mkuu wa kaya ambaye ndiye msemaji wake na nbs ndiyo msemaji wa takwimu kama ilivyo msemaji wa ACT ni Zitto. Nakuomba ukubali kuelimishwa baadala ya kug'ang'ania fikra zako ambazo ni potofu. Aidha unadai takwimu ni kama mahesabu nakueleza hapana si sawa na mbili kuongeza mbili ni nne. Hivi nisije kuwa nawasiliana na mtu ambaye hataki kuelewa maana unaweza kumlazimisha ng'ombe kuvuka mto lakini si kunywa maji. Elimu ni sawa na kunywa maji
Kama hujui uliza acha mihemukoAcha uongo...dunia nzima ipi?
Wewe shabiki wa wapi?Kiini cha mashtaka ya Zitto kilianzia kwenye agizo lililotolewa pale LITHULIUkisoma hiyo para ya kwanza tu utajua mleta mada anayo yafuatayo katika bandiko lake zima;
1. Ni shabiki wa Zito,
2. Ni shabiki wa ukawa.
3. Halewi kiini cha mashtaka ya zito.
4. Haifahamu sheria iliyotumika kumshtaki zito.
Hivyo bandiko zima , ni pumber tupu.
Ukisoma hiyo para ya kwanza tu utajua mleta mada anayo yafuatayo katika bandiko lake zima;
1. Ni shabiki wa Zito,
2. Ni shabiki wa ukawa.
3. Halewi kiini cha mashtaka ya zito.
4. Haifahamu sheria iliyotumika kumshtaki zito.
Hivyo bandiko zima , ni pumber tupu.
Naomba mniambie,je ni kweli 2015 bei ya sukari ilikuwa 5000/-???Mkuu leonaldo
Kwa bahati mbaya hapa JF tunajifanya wajuaji wa kila kitu. TAKWIMU za nchi si kitu cha kuchezewa ndiyo maana kila nchi kuna sheria za kulinda takwimu za nchi zake. Yeye hakuwa anajadili ila alikuwa anapotosha. Tufike pahala tuache siasa katika vitu vya msingi
Zitto alikuwa hatoi maoni,Alikuwa akitumia takwimu za uwongo kuchochea wananchi na donors waichukie serikali.Mfano chukulia gazeti lillloandika asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARV.Huko sio kutoa maoni ni kutumia takwimu za kujipikia kuharibu nchi ili wawekezaji wajue kuwa watanzania wengi wanaumwa ukimwi kwa kila watanzania 7 watatu ndio wazima!!! Zitto hakuwa akitoa maoni kwa takwimu halisia zilizopo alipika za kwake.Mpika takwimu na mtoa maoni kwenye takwimu halisia ni watu wawili tofauti
Mtu anayedharau mahakama na kuvunja nyumba za watu wa kimara na kuwasamehe wa Mwanza nae unamuweka kundi gani?Unajua maana ya Amiri Jeshi ?
Mtu anachochea chuki baina ya Wananchi na Serikal Yao aachwe tu kwa kigezo cha Uhuru ?
Mnachekesha kweli
Takwim za bei ya sukari iliyokuwa 5000/- mwaka 2015 zinapatikana wapi?Inaonekana huelewi wewe!!!! Takwimu dunia nzima zinatolewa na mtakwimu mkuu kwa wakati uliopangwa na huwa zinatolewa katika vyombo vya habari kama mfumko wa bei etc (nbs.go.tz).
Kila kitu kina msemaji wake hata kaya ina mkuu wa kaya ambaye ndiye msemaji wake na nbs ndiyo msemaji wa takwimu kama ilivyo msemaji wa ACT ni Zitto. Nakuomba ukubali kuelimishwa baadala ya kug'ang'ania fikra zako ambazo ni potofu. Aidha unadai takwimu ni kama mahesabu nakueleza hapana si sawa na mbili kuongeza mbili ni nne. Hivi nisije kuwa nawasiliana na mtu ambaye hataki kuelewa maana unaweza kumlazimisha ng'ombe kuvuka mto lakini si kunywa maji. Elimu ni sawa na kunywa maji
Na awam hii HAIRUHUSIW KUCHOKONOANashukuru kwa mchango wako mkuu,lakini usiwe mwepesi kukata tamaa unapodhani uko kwenye njia sahihi na unaelimisha sio mimi tu wapo wengi waliofaidika,na kuchokonoa ndio chanzo cha kupata undani thanks
Si kwa mwanasiasa tu,hata kwa raia wa kawaida,mtafiti au mtu yeyoteAcha ushamba wewe usije ukawa upo kolomije, Takwimu kwa mwanasiasa ni ruksa kuikosoa serikali na hapo kwenye takwimu ndipo serikali huwahadaa wananchi lazima wanasiasa wawazindue watanzania hata kama CCM mtatumia mabavu kuficha mapungufu ya takwimu feki za CCM, ni ng’o Yupi kalazimishwa kuvuka mto? Ng’ombe kwenye takwimu wanavuna wenyewe acheni Udikteta wenu.
sio kweli,tupe mifano miwili tu ya nchi hizo na vifungu vyake vya kisheria vinavyolinda Takwimu;elewa tunaishi kwenye nchi yenye udikiteta na kwa taarifa yako nchi nyingi zina sheria ya uhuru wa habari yaani unaweza kwenda mahakamani kuilazimisha serikali kutoa habari/takwimu unazozihitaji ni muda mrefu sijamsikia mkuu wangu wa jeshi la polisi au waziri wa mambo ya ndani akitoa takwimu kuhusiana na uhalifu ndani ya nchi yangu(hii ni haki yangu kujua),au Gavana mkuu akitoa takwimu kuhusiana na currency yetu ilivyo katika soko letu ,sijamsikia mkuu wa takwimu wa taifa akielezea kuhusu uchumi wa nchi ulivyo,hali ya ajira nchini ipo vipi,inflation rate ipo vipi,na mbaya zaidi tunaishi kwenye junky status country.Mkuu leonaldo
Kwa bahati mbaya hapa JF tunajifanya wajuaji wa kila kitu. TAKWIMU za nchi si kitu cha kuchezewa ndiyo maana kila nchi kuna sheria za kulinda takwimu za nchi zake. Yeye hakuwa anajadili ila alikuwa anapotosha. Tufike pahala tuache siasa katika vitu vya msingi
Kama hii pumba yako Hapa?Ukisoma hiyo para ya kwanza tu utajua mleta mada anayo yafuatayo katika bandiko lake zima;
1. Ni shabiki wa Zito,
2. Ni shabiki wa ukawa.
3. Halewi kiini cha mashtaka ya zito.
4. Haifahamu sheria iliyotumika kumshtaki zito.
Hivyo bandiko zima , ni pumber tupu.
Kama hujui uliza. Soma Statistical act ya Canada uone na adhabu zake: Statistics Act soma na ya India Collection of Statistics Act, 1953 | Ministry of Statistics and Program Implementation | Government Of India tafuta na ya Marekani google acha uvivusio kweli,tupe mifano miwili tu ya nchi hizo na vifungu vyake vya kisheria vinavyolinda Takwimu;elewa tunaishi kwenye nchi yenye udikiteta na kwa taarifa yako nchi nyingi zina sheria ya uhuru wa habari yaani unaweza kwenda mahakamani kuilazimisha serikali kutoa habari/takwimu unazozihitaji ni muda mrefu sijamsikia mkuu wangu wa jeshi la polisi au waziri wa mambo ya ndani akitoa takwimu kuhusiana na uhalifu ndani ya nchi yangu(hii ni haki yangu kujua),au Gavana mkuu akitoa takwimu kuhusiana na currency yetu ilivyo katika soko letu ,sijamsikia mkuu wa takwimu wa taifa akielezea kuhusu uchumi wa nchi ulivyo,hali ya ajira nchini ipo vipi,inflation rate ipo vipi,na mbaya zaidi tunaishi kwenye junky status country.