Mr Kiroboto
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 350
- 87
mr kiroboto Una maanisha wewe unataka kwenda kusikiliza kesi ya Zombe Mahakamani?Mimi nimenukuu kwenye gazete lipo hapo chini nimetowa kopi sijazidihsa kitu mr kiroboto jaribu kuifuatilia kwenye Magazeti kesi ya Zombe utapata Latest zote mr kiroboto upende sana kusoma magazeti ndugu mr kiroboto hapa mimi nimekurahishia wewe ujuwe kuwa hata wakubwa wa serikali wanapofanya makosa na kila afanyae makosa hukumu inamhusu Mahakamani ndipo penye haki upo na mimi ndugu mr kiroboto ?
nimekuelewa mzizimkavu.nipo ughaibun kuna sehemu inaitwa canika(jokes)