Kesi ya viongozi wa Chadema kutajwa leo Mahakama ya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya viongozi wa Chadema kutajwa leo Mahakama ya Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kagemro, Jan 21, 2011.

 1. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu kutokana na kumbukumbu zangu leo ni siku ya kesi ya viongozi wetu huko Arusha,kwa taarifa niliyonayo watu wengi hivi sasa wanaelekea mahakamani kusikiliza mashitaka ya viongozi wetu.

  Hasa kukiwa na tetesi kuwa inawezekana wakasomewa mashtaka mapya hivi leo,tafadhali mlioko Arusha tunaomba taarifa.
   
Loading...