Kesi ya viongozi wa CHADEMA kesho

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
Kesi ya maandamano ya January 5,inayowakabili Viongozi wakuu wa CHADEMA, Mh Mweyekiti Taifa, Mh Katibu mkuu na wenzanke itaendelea kesho mahakama kuu Arusha, tujitokeze kwa wingi
 
wanahaki ya kikatiba ya kufanya maandamano na mikutano ya amani. JK athiirisha umma kuwa CCM ilikuwa inatumia mamlaka ya doal kuzima upinzania. Kama jaji anaye sikiliza kesi anaijua kazi yake (sio wale anaowasema Mh Lissu) anatakiwa - to dismiss the case.
 
kesi haijafutwa tuu? na askari walioua raia siku hiyo wamekamatwa na kesi zao zimeanza??
 
Back
Top Bottom