Kesi ya Ugaidi ya Mbowe itaondoka na watu Polisi!

Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani.

Mama anaupiga mwingi!
Si kweli. Kesi imefunguliwa na polisi kwa maelekezo ya CCM. Mateso anayopitia Mbowe ni maelezo ya CCM. Jaji aliyechaguliwa na kiongozi wa CCM ameshapewa maelekezo.
CCM walipora uchaguzi ili watese watu. Na kama ulimwona rais wakati anaongea na BBC alikuwa ni mwenye furaha sana alipoulizwa suala la kesi ya mbowe. Alifurahi kwa sababu CCM inafurahia to inflict pain to innocent.
 
Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani.

Mama anaupiga mwingi!
Thubutuuu

Ccm ni wale wale
 
Samia anaweza kuja kuwashangaza watu wengi.

Habari za ndani ya Jeshi la Polisi, IGP alimdanganya Rais, kiasi cha Rais kuamini kuwa kweli kulikuwa na uovu uliokuwa umepangwa na Mbowe. Kadiri mambo yanavyoenda, tayari amejua ujinga wote uliofanywa.

Ameachwa kila kitu kiende mpaka mwisho, atakapochukua hatua, kutakuwa na uthibitisho mwingine toka mahakamani kuwa Siro na wenzake wanaendelea na uchafu wao wa kuwabambikia watu kesi. Hapo ndipo, Rais atachukua uamuzi dhidi ya wanaolichafua na kulidhalilisha Taifa.
Rais anatekeleza azma ya CCM kutesa watu. Mama hakudanganywa anafahamu fika. Ila ni furaha ya chama chake tutesa watu. Sio Mbowe tu, fikiria tozo ya miamala, fikiria watu kuporwa korosho, fikiria kuharibiwa soko la mbaazi, fikiria kuharibiwa kwa soko la Michele na mahindi Kenya. Fikiria kiongozi wa CCM anasema wasiotaka tozo za miamala wahamie Burundi, au mwingine anasema wasiotaka tozo wapasuke. CCM enjoys inflicting pain to innocent.
 
kesi za uongo huwa ni hizi za kisiasa tu na zina malengo maalumu,usiwe hanangwa.

jitahidi kwenda mahakamani mara kwa mara ukashuhudie weredi wa hao polisi kwenye kesi za kweli.
Kwa HIYO hii kumbe unajua ni ya uongo? Kesi ya uongo umesema huwa na malengo maalum, hebu tupe Siri ya hayo malengo.
 
Kwa HIYO hii kumbe unajua ni ya uongo? Kesi ya uongo umesema huwa na malengo maalum, hebu tupe Siri ya hayo malengo.
endelea kula mahindi ya kukaanga.

dakika za mwanzo,chadema kupitia msemaji walionyesha kushtukia mbinu chafu,lakini naona mmiliki wa saccos ile akachimba biti,kwamba hawawezi endelea na harakati wakati yeye anasota.

walipanga wamwache wasimtetee,wala kumpigania,maana ni kama kusema hii ngoma ni planned ili kuzima mwenendo wa chama.
 
Samia anaweza kuja kuwashangaza watu wengi.

Habari za ndani ya Jeshi la Polisi, IGP alimdanganya Rais, kiasi cha Rais kuamini kuwa kweli kulikuwa na uovu uliokuwa umepangwa na Mbowe. Kadiri mambo yanavyoenda, tayari amejua ujinga wote uliofanywa.

Ameachwa kila kitu kiende mpaka mwisho, atakapochukua hatua, kutakuwa na uthibitisho mwingine toka mahakamani kuwa Siro na wenzake wanaendelea na uchafu wao wa kuwabambikia watu kesi. Hapo ndipo, Rais atachukua uamuzi dhidi ya wanaolichafua na kulidhalilisha Taifa.
Hili linawezekana. Yule kamanda mwenye sura k.a nyoka simwamini kabisa.
 
Back
Top Bottom