kamili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,213
- 849
Si kweli. Kesi imefunguliwa na polisi kwa maelekezo ya CCM. Mateso anayopitia Mbowe ni maelezo ya CCM. Jaji aliyechaguliwa na kiongozi wa CCM ameshapewa maelekezo.Ni mtazamo wangu tu lakini inavyoelekea Chief Hangaya ameachia hii kesi ili Polisi waaibike na mwisho wa siku kuna watu watanyolewa vichwa hapa! Subirini muons maana sio kwa udhaifu ambao Polisi wanaonesha kwenye utetezi wao huko mahakamani.
Mama anaupiga mwingi!
CCM walipora uchaguzi ili watese watu. Na kama ulimwona rais wakati anaongea na BBC alikuwa ni mwenye furaha sana alipoulizwa suala la kesi ya mbowe. Alifurahi kwa sababu CCM inafurahia to inflict pain to innocent.