Kesi ya Ugaidi ya Kilewo yakatiwa Rufaa na Serikali

Colombia

Senior Member
Feb 3, 2013
110
72
Wana JF, Leo ilikuwa ni kesi ya Kamanda Kilewo na Wenzake katika Mahakama ya Wilaya Igunga.

Kilichojiri Mahakamani
Mwendesha mashtaka wa Serikali PP Mpimbwe amewasilisha nakala ya kukata rufaa mbele ya Mheshimiwa Milanzi, juu ya kesi ya Ugaidi iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu.

Ni wazi kwamba kesi hii itakuja kwa ajili ya kutajwa, hadi hapo kikao cha Mahakama ya Rufaa kitakapotoa maamuzi.

Kesi hiyo imeahirishwa mpaka tarehe 7/2/2014
 
ni njia ya kujipatia posho hao mastate attorney.
hawana kesi ya kujibu kila Kilewo
nadhani mawakili wa kilewo wawe serious kuidai serikali garama zote za usumbufu
Mahakama ya Rufaa ni msumari wa moto..wanajisumbua
hata mtoto mdogo anajua kutuhumiwa kumwagia mtu tindikali sio ugaidi....
siku itakapotokea tukio kama la westgate au ofisi za serikali kulipuliwa ndio watajua nini maana ya UGAIDI
 
kimeshanuka.............chadema family ,unacheza na jela wewe, Mandela(RIP) alienda jela akigombea maslahi ya nchi na kuwaunganisha wa SA weupe kwa weusi kileo anaenda jela kwa kugombea maslahi ya kaskazini na chama .!! dah vijana wa MBOWE atawaponza sana BADO YERICKO NYERERE KWENDA KUNYEA DEBE
KWA UPUMBAVU WAO WAKIAMBIWA WAGOMBEE CHAMA NA NCHI WATACHAGUA CHADEMA FAMILY
 
Kesi ya ugaidi ambayo ilikuwa ikimkabiri kamanda Henry Kilewo serikali yaamua kupinga maamuzi ya mahakama kuu na kuyakatia rufaa!
 
Mimi nasubiria tu akanyee debe nimrithi mke wake yule,anamiliki bastola za kufa mtu,MTOTO MWEUPEEEEEE LOL ANAMUACHA HIVI HIVI KWA KUWAMWAGIA WATU TINDIKALI
 
Mimi nasubiria tu akanyee debe nimrithi mke wake yule,anamiliki bastola za kufa mtu,MTOTO MWEUPEEEEEE LOL ANAMUACHA HIVI HIVI KWA KUWAMWAGIA WATU TINDIKALI

Uasherati ni suna kwa viongozi wa ccm!!
 
Uasherati ni suna kwa viongozi wa ccm!!
Mkuu, umesahau kuwa Katibu Mkuu wako hajawahi kufunga ndoa na kazaa watoto na wanawake tofauti, hiyo ni nini? Umesahau pia kuwa mwenyekiti wako kazaa nje ya ndoa na wabunge wawili wa viti maalum wa chama chako, ni nini hiyo?
 
mkuu, umesahau kuwa katibu mkuu wako hajawahi kufunga ndoa na kazaa watoto na wanawake tofauti, hiyo ni nini? Umesahau pia kuwa mwenyekiti wako kazaa nje ya ndoa na wabunge wawili wa viti maalum wa chama chako, ni nini hiyo?
ikumbukwe ana kesi nyingine ya kujifanya yeye afisa usalama wa taifa na kuutoa ule waraka wa SIRI WA ZZK,historia yake tosha inamfanya anyee debe
 
Wana JF, Leo ilikuwa ni kesi ya Kamanda Kilewo na Wenzake katika Mahakama ya Wilaya Igunga.

Kilichojiri Mahakamani
Mwendesha mashtaka wa Serikali PP Mpimbwe amewasilisha nakala ya kukata rufaa mbele ya Mheshimiwa Milanzi, juu ya kesi ya Ugaidi iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu.

Ni wazi kwamba kesi hii itakuja kwa ajili ya kutajwa, hadi hapo kikao cha Mahakama ya Rufaa kitakapotoa maamuzi.

Kesi hiyo imeahirishwa mpaka tarehe 7/2/2014

Sasa naona yaliyoandikwa kwenye ile Email ya Nchimbi na Mwigulu yanatimia, lengo ni kuipunguzia Bavicha na Chadema nguvu.

Ila hawatoki hata waende wakaikatie rufaa ile kesi ya Rwakatare na nyingine zote. Hao jamaa hawana hoja hapoa zaidi ya kufanya Siasa chafu wakidhani watamsaidia Zitto kumbe ndiyo wanamzamisha
 
Jaribu kutumia akili vizuri email unayosema mbona haina mantiki hata chembe ilikuwa ya kubumba ili kupata hoja kwa chadema japo haikuwa na maana.
 
Back
Top Bottom