Hili linaweza kuwa kweli maana zile antagonism wanazotoa tit for tat sio za mtu aliyesikia ushahidi papo kwa papo.Sio kama wanaijua, sema wanaijua. Kwenye kesi hizi ni lazima kuiba taarifa kutoka upande wa pili. Kwamba shahidi anaefuata ni ni nani na anakuja na ushahidi gani?
Upande wa Jamhuri kuna wasamalia wanavujisha taarifa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app