Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya ufujaji ya Mattaka PPF iliishia wapi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Pdidy, Jan 14, 2009.

  1. Pdidy

    Pdidy JF-Expert Member

    #1
    Jan 14, 2009
    Joined: Nov 22, 2007
    Messages: 26,223
    Likes Received: 2,017
    Trophy Points: 280
    Wanandugu mh sana hapo juu ambae kwa hekima ya JK na washauri wake waliamua kuwapelekea ndugu zetu wa ATCL msalaba huu..wakati mattaka akiwa kama MKURUGENZI WA PPF..enzi za mh Ben ..aliamua kuwatimua na mwenzake yule wa BIMA kipindi hiko mh TEMU.. Kulikuwa na sabababu nyingi za kuwatimua ukiacha ule upuuzi walioufanya kipndi cha msiba wa BABA WA TAIFA MT J.K. NYERERE....walikodi Ndege ambayo iliwapeleka huko msibani na kuwarudisha NAIROBI kulala...vivyo hivyo mpaka siku msiba ulipoisha......
    anyway swali langu ni moja...MHmattaka wakati anafukuzwa alifunguliwa kesi ya uhaini...ya wizi wa pesa za umma...kupitia lile jengo la waheshimiwa sana sasa hivi PPF......Mpaka anachaguliwa tenza kubebeshwa msalaba wa ATCL kesi ile ilikuwa gumzo mahakamani mara akimu huyu kala hela .akajitoa akaingia mwingine kajitoa....mpaka sasa atujui kilichoendelea..kwa msaada wa umma ili tumsaidie JK katika uteuzi wake ni vyema awe anaangalia CV ZA watu na kama alipata kesi ya kuhujumu uchumi sidhani kuna umuhimu wa kuwachagua walafi kama hao tena
    MH JAJI MKUU WA TANZANIA TUNAWEZA PATA MSAADA HII KESI ILIPOISHIA??
     
  2. Exaud J. Makyao

    Exaud J. Makyao JF-Expert Member

    #2
    May 12, 2009
    Joined: Nov 30, 2008
    Messages: 1,523
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 0
    MR. IMPO,
    Huenda Jaji huyo hakupata swali lako.
    Hatembelei JF.
     
  3. Lambardi

    Lambardi JF-Expert Member

    #3
    May 12, 2009
    Joined: Feb 7, 2008
    Messages: 7,940
    Likes Received: 2,460
    Trophy Points: 280
    Hiyo ni Tanzania zaidi ya uijuavyo...wakati msiba JKN walitapanya pesa walitakiwa wawe benchi kabisa...tena wasije hata kupewa hata ujumbe wa shina...
     
  4. j

    jibabaz Member

    #4
    May 15, 2009
    Joined: Jun 23, 2008
    Messages: 55
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Skills jamaa Mataka aliwekwa benchi kabisa mbona? Akaanza kuwa promoto wa mashindano ya mamiss ndo mara akaja muungwana akamrudhisha kwenye chati. Sasa ili arudi katika level yake ikabidi awe na spidi kali ya kula pesa pale ATCL mpaka aikie level yake ya zamani na kuipita. Baada ya kufikiahiolevel sasa ndo huyoooooo BIMA...mmmh watamkoma zis year and zis day lol
     
Loading...