Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
"Leo katika mwendelezo wa kesi ya uchaguzi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Bwana Godbless Lema , pingamizi lililowekwa na mawakili wa mheshimiwa Mb Lema kuwa waliofungua kesi hiyo dhiidi ya Lema kuwa kuna njia nyingi wamekosea kisheria na kuuliza kama wako tayari kujibu maswali yanayohusiana na Batilda Burihani, haswa yale wanayodai kuwa ni kashfa ambazo bwn Lema anadaiwa kuzitoa wakati wa kampeni mwaka jana.
Mfano Batilda kuzaa nje ya ndoa , na kuwa Batilda alikuwa na uja uzito wa mtu mwingine wakati wa kampeni, jaji amesema kuwa wafungua kesi aoni kama wao wanaweza kusimama juu ya shauri hilo wakati anayedaiwa kutukanwa hawezi kusimama kizimbani kujitetea .