Kesi ya Tundu Lissu

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Jamani wanajukwaa kama tujuavyo kesho ndo hukumu ya kesi ya uchaguzi inayomkabili kamanda Lissu, napenda wanajukwaa walio karibu watujuze hakuna tetesi zilizovuja kama ilivyo kwa Lema?
 
hakuna kesi pale Lisu anapeta
serikali haina hela za kijinga za kurudia rudia chaguzi
sasa tunafocus mbele maendeleo.Majaji wanaelewa hukumu haziangalia sheria peke yake
wanaangalia other surrounding events
 
Nipo jimboni kwake bt hadi sasa hakuna tetesi mkuu.... Lets wait had kesho mayb haki itatendeka....
 
Washashtuka,ile ya Lema imeshusha sympathy ya idara ya mahakama,so kesho lisu anaweza kupeta.
 
hakuna kesi pale Lisu anapeta
serikali haina hela za kijinga za kurudia rudia chaguzi
sasa tunafocus mbele maendeleo.Majaji wanaelewa hukumu haziangalia sheria peke yake
wanaangalia other surrounding events

Sorry
unazungumzia sirikali ipi labda? hii iliofanya fitna na kumvua lema ubunge au nyingine?
 
Nipo jimboni kwake bt hadi sasa hakuna tetesi mkuu.... Lets wait had kesho mayb haki itatendeka....

Na hizo ndiyo nature ya hukumu, haitakiwi hukumu kuleak kabla ya kusomwa. Jaji huyo naona ana maadili.
 
jamani wanajukwaa kama tujuavyo kesho ndo hukumu ya kesi ya uchaguzi inayomkabili kamanda lissu, napenda wanajukwaa walio karibu watujuze hakuna tetesi zilizovuja kama ilivyo kwa lema?
mh:lissu kaisha galagaza.aibu yao.
 
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.

Sasa kama hawa unawaita wavuta bangi, je hao viongozi wa CCM wanoitumbukiza nchi chooni utasena wanavuta nini?? Mandrax???
 
Nadhani fundisho walilolipata Arusha limewaamsha toka kwenye ujinga na kuona mbinu hizi za kuwatoa kwenye ubunge zinazidi kuwabomoa CCM.. Wameona ni afadhali wamuachie Lisu ubunge kuliko ku-risk kumuondoa pale na kisha ya Arusha yahamie na Singida..
 
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.

Umepost comments 9.. Nimezisoma zote nikagundua hapo kwenye nyekundu hapo.. Wajisema mwenyewe.. Maana ni mvuta bangi tu ndio anaweza kuandika yote ulioandika kwenye comments zako.. Hope pesa unayolipwa kwa kila comment ina-justify ur level of reasonin..
 
Back
Top Bottom