hakuna kesi pale Lisu anapeta
serikali haina hela za kijinga za kurudia rudia chaguzi
sasa tunafocus mbele maendeleo.Majaji wanaelewa hukumu haziangalia sheria peke yake
wanaangalia other surrounding events
Nipo jimboni kwake bt hadi sasa hakuna tetesi mkuu.... Lets wait had kesho mayb haki itatendeka....
"Serikali inaingilia uhuru wa mahakama"- Jaji mkuu.
mh:lissu kaisha galagaza.aibu yao.jamani wanajukwaa kama tujuavyo kesho ndo hukumu ya kesi ya uchaguzi inayomkabili kamanda lissu, napenda wanajukwaa walio karibu watujuze hakuna tetesi zilizovuja kama ilivyo kwa lema?
mh:lissu kaisha galagaza.aibu yao.
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.
Nyie makada wa CDM ni mapimbi sana kwani tz hatutaki viongoizi bangi kama lema na lissu so hope dat kesho mahakama itatenda haki kuwatoa hawa viongozi wahaini wa CDM.