Kesi ya tindikali dhidi ya Kubenea: Mahakama yawaachia watuhumiwa

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema watuhumiwa wote walioshitakiwa katika kesi ya tindikali dhidi ya mmiliki wa MwanaHalisi wameachiwa huru kwa kukosa ushahidi!!!

Mwenye habari zaidi atujuze.
 
Back
Top Bottom