Kesi ya Sheikh Ponda yazidi kukwama

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Wafuasi wa Sheikh Ponda wameshikwa na bumbuwazi baada ya kiongozi wao huyo mwenye tuhuma za uchochezi, uvunjifu wa amani na ugaidi kuendelea kusotea kwa kesi yake mahakamani huku akiwa na kifungo cha nje mwaka mmoja.
Kwa habari zaidi fuatilia gazeti HabariLeo na magazeti mengine ya leo.
 
Back
Top Bottom