Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada

Status
Not open for further replies.
vithlani2.JPG
 
Last edited by a moderator:
Naona amenona kweli,analingana na jamaa yetu.Tutahakikisha anakamtwa,ile hizo charges wazifanyie amendments,isijekuwa tunatwanga maji kwenye kinu
 
Wewe acha tu,

Mwaka 2002 serikali ya Joji Kichaka hapa US ilianzisha Pre-emptive doctrine ambayo inairuhusu US kupiga nchi yoyote ile inayopose threat kwa national security yao.

Kwa standard hii ya Kichaka (ambaye Kikwete ni rafiki yake), na mimi naendeleza hiyo doctrine hapa JF kwa kutangaza hadharani hukumu ya kifo dhidi ya huyu jamaa kwa vile anahatarisha usalama wa Tanzania.

Huyu baba akionekana popote pale ni kuuwawa tu. Sina muda wa kusubiri uchunguzi kwa sababu so far uchunguzi uliokwisha fanywa unatosha kuwashtaki walioshirikiana naya.

Call me crazy but I said it! na wapambe wake mnaosoma hapa ni kazi yenu kumwambia hili na kama kimemuuma sana afuatilie IP add yangu na kizaazaa cha kufa mtu kianze kati yangu na yeye!
 
I wish akamatwe hata leo ili awataje wenzake alioshirikiana nao. Ila nina wasiwasi watammalizia polisi kabla hajafika mahakamamni ili kuondoa ushahidi.
 
Wewe acha tu,

Mwaka 2002 serikali ya Joji Kichaka hapa US ilianzisha Pre-emptive doctrine ambayo inairuhusu US kupiga nchi yoyote ile inayopose threat kwa national security yao.

Kwa standard hii ya Kichaka (ambaye Kikwete ni rafiki yake), na mimi naendeleza hiyo doctrine hapa JF kwa kutangaza hadharani hukumu ya kifo dhidi ya huyu jamaa kwa vile anahatarisha usalama wa Tanzania.

Huyu baba akionekana popote pale ni kuuwawa tu. Sina muda wa kusubiri uchunguzi kwa sababu so far uchunguzi uliokwisha fanywa unatosha kuwashtaki walioshirikiana naya.

Call me crazy but I said it! na wapambe wake mnaosoma hapa ni kazi yenu kumwambia hili na kama kimemuuma sana afuatilie IP add yangu na kizaazaa cha kufa mtu kianze kati yangu na yeye!

Mwafrika wa Kike,

Kwi kwi kwi!!! Usanii tu, una ubavu wa kulinyonga hilo libaba?

Njoo UK, nikuonyeshe alipo, of course na mimi kupata nafasi ya kukuona (kuua ndege wawili kwa jiwe moja eti).
 
Fisadi kavimbiwa kama fisadi mwenzao Mkapa

Badala ya kutumia akili na vipaji vyao katika kuondoa umaskini India na Tanzania, yanajishindilia vinono mpaka hayawezi hata kutembea.....

UGLY M.F KRS... DIE DIE DIE!! I REALLY HATE WHEN PEOPLE WITH KNOWLEDGE AND PROFESSION ENGAGE UNSCRUPULOUSLY TO THE DETRIMENT OF MANY!!

NAJUA ANAWEZA KUWA BABA WA WATU NA KADHALIKA, LAKINI UKIWEWESESHA UMMA KWA MATENDO YAKO BILA AIBU KWA KUJITIA MJANJA...WE WILL SHOOT YOU IF WE HAVE TO....

I'M SO ANGRY AT SEEING HIS PHOTO!!
CAN'T EVEN TALK.. GGGGRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR!

SteveD.
 
Mwafrika wa Kike,

Kwi kwi kwi!!! Usanii tu, una ubavu wa kulinyonga hilo libaba?

Njoo UK, nikuonyeshe alipo, of course na mimi kupata nafasi ya kukuona (kuua ndege wawili kwa jiwe moja eti).

:) wewe Mtanzania achana na anga za watu... utazua bifu buree.....!!! Kumbuka Nyani nimeshamtungua mtini kutokana na antics zake katika hili........he he he

SteveD.
 
Mwafrika wa Kike,

Kwi kwi kwi!!! Usanii tu, una ubavu wa kulinyonga hilo libaba?

Njoo UK, nikuonyeshe alipo, of course na mimi kupata nafasi ya kukuona (kuua ndege wawili kwa jiwe moja eti).

Kwi kwi kwi,

hilo libaba halihitaji kunyongwa bali linahitaji kupigwa kwa mishale ya sumu ya kimasai (ile ambayo hutumika kuua simba) ili lisipate nafasi ya kutibiwa hospitali.

Nilijua siku nyingi kuwa unatafuta kuniona na sasa umepata nafasi hiyo. Tuwasiliane kwenye PM maana krismas naenda bongo na labda nitapunguza siku za kukaa Amsterdam (kuvuta bangi kihalali) na kupitia UK ili "tusaini MOU memorandum of understanding" kati yangu na wewe.
 
Kwi kwi kwi,

........Nilijua siku nyingi kuwa unatafuta kuniona na sasa umepata nafasi hiyo. Tuwasiliane kwenye PM maana krismas naenda bongo na labda nitapunguza siku za kukaa Amsterdam (kuvuta bangi kihalali) na kupitia UK ili "tusaini MOU memorandum of understanding" kati yangu na wewe.

I hope hiyo MOU itakuwa ya kukamata majizi kama hilo juu popote yapatikanapo na kuyang'oa kong'oli zao bila ganzi!!

SteveD.
 
I hope hiyo MOU itakuwa ya kukamata majizi kama hilo juu popote yapatikanapo na kuyang'oa kong'oli zao bila ganzi!!

SteveD.

Dont worry SteveD,

Yote hayo yatafanyika maana baada ya muda mwingi hapa nimegundua kuwa ninakubaliana na mtanzania zaidi ya ninavyopingana naye so mambo yote yatakuwa ya amani na hakuna watoto au wanyama ambao watadhurika.

Bado sina hakika kama atakubali kuvuta bangi, kwi kwi kwikwi
 
Siku za mwizi 40...huyu yupo ya 39.....lets be patient...anyway kuna maigizo mbona nasikia yamefanyika ya kumpa charges legelege..MWK au SteveD nisaidie,is this true??
 
Wewe acha tu,

Mwaka 2002 serikali ya Joji Kichaka hapa US ilianzisha Pre-emptive doctrine ambayo inairuhusu US kupiga nchi yoyote ile inayopose threat kwa national security yao.

Kwa standard hii ya Kichaka (ambaye Kikwete ni rafiki yake), na mimi naendeleza hiyo doctrine hapa JF kwa kutangaza hadharani hukumu ya kifo dhidi ya huyu jamaa kwa vile anahatarisha usalama wa Tanzania.

Huyu baba akionekana popote pale ni kuuwawa tu. Sina muda wa kusubiri uchunguzi kwa sababu so far uchunguzi uliokwisha fanywa unatosha kuwashtaki walioshirikiana naya.

Call me crazy but I said it! na wapambe wake mnaosoma hapa ni kazi yenu kumwambia hili na kama kimemuuma sana afuatilie IP add yangu na kizaazaa cha kufa mtu kianze kati yangu na yeye!

..mwafrika,hizi siasa kali tena zenye hasira kali umezianza lini?

..taratibu,haya mambo yako mengi,halafu inaonekana hayaishi kila kukicha,yatakutia kichaa buree!punguza kidogo hasira!

..hiki kilio chetu sote!ingawa wengine wanacheka,ilihali hawajui kuwa wanalia!
 
Akishatiwa mbaroni, mashtaka mengine yako mbeleni.. tunataka abambwe kwanza... ni lazima tuhakikishe kuwa hawezi kuunda Kikosi cha Kisasi, au kula Njama kuharibu uchunguzi. Kwa jinsi mambo yalivyo inaonekana huyu ndiye Malaika wa Shetani ambaye kwa hakika tuhuma anazokabiliwa nazo ni sawa na Salamu toka Kuzimu.

Yeyote ambaye anamfahamu au anafahamu alipo ahakikishe kuwa anampatia ujumbe toka serikali ya Tanzania ujumbe ambao ni sawa na Simu ya Kifo. Sina uhakika kama ana ulinzi wowote kiasi cha kuweza kuonekana ni Maskini Jeuri kwani jinsi anavyofahamika hapendi kuonekana mchana, mara nyingi utamkuta Dar-es-Salaam Usiku.

Kwa yeyote anayemtafuta lazima ahakikishe yeye mwenyewe anayo Hawala ya Fedha kwani endapo atahitaji tiketi aweze kurudi naye salama ama sivyo itakuwa ni Roho Mkononi. Huyu bwana kutokana na shughuli zake amekuwa kama kile kisa cha Ngoswe - Penzi kitovu cha Uzembe na watu kumuamini walifanya makosa.

Jitihada za kumtafuta zitakuwa ni kama Usiku wa Balaa ambapo hakuna kinachotabirika kwani hadi mwisho ni lazima wale wanaomtafuta wajiulize "Tutarudi na Roho Zetu?". Makosa kidogo tu yatakuwa yanawafanya wamtafutao wapotee kama yule bwana aliyepotea katika Mzimu wa Watu wa Kale. Ni lazima tuunganishe nguvu zetu na kudhamiria kama Kuli vinginevyo itakuwa ni kama mtu Aliyeonja Pepo au kama mambo ya nchi ya Kusadikika.

Nina uhakika huyu bwana atajaribu kutoa kitu kidogo ili asikamatwe lazima watu wamuambie "Pesa Zako Zinanuka". Hata hivyo isidhaniwe kuwa kwa kuwekwa mbaroni huyu bwana atakuwa amefikia Kikomo, kwani inasadikiwa anayo Roho ya Paka. Hata hivyo tusikubali geresha hizo na tufanye jitihada zetu za kumtia mbaroni ziwe ni za Kufa na Kupona.

Kwa hakika ndugu zangu kukamatwa kwa Vithlani na hatimaye kufikishwa Mahakamani na hatimaye kukutwa na hatia itakuwa ni jitihada zinazostahili Zawadi ya Ushindi! Wanausalama wetu watumie njia zote kumtia mbaroni kwa amani, lakini Akibisha, Mlipue!
 
plosi wa tanzania wamekuwa hivyo muda mrefu,unadhani hawajui alipo...?wahindi wamekuwa marafiki wa wakubwa muda mrefu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom