Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

Watu wa namna hii Magufuli aliwapenda sana, kila siku alikuwa anapita majukwaani kuwasifia kuwa ni wazalendo
 
Shahidi wa upande wa Jamuhuri wa kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, Mroso ameshindwa kuendelea na kesi hiyo baada ya kuoneshwa video za CCTV za benki zinazoonesha akitoa kiasi cha shilingi milioni 90 ambacho alikikabidhi kwa Sabaya akihofia kupewa kesi ya uhujumu uchumi ama kupotezwa.
That young man is a real thug!
 
Hizo camera Zikimuonyesha chairman akipanga mipango yake ya kigaidi uje utuletee na uzi pia!
Waliompeleka mahakamani mbowe ndio wanatakiwa walete hizo unataka kama walivyozitoa hizi. Labda huelewi ni nani aliyezileta hizi za sabaya.
 
Kuna sheria kuanzia kiasi Fulani lazima uombe polis wakulinde unapochukua hela,benk haikuuliza kama ana ulinzi halali au malipo yapitie akaunt?
CCM wauaji,90M anachukua bila aibu
Yule branch manager alimshauri afungue account atakataa. Akapewa maburungutu kwenye box akatokomea nayo. Yaani kunua mgongo cha mwalimu aliyefundisha miaka 40 jamaa anakipata kwa kupiga cmu tu..
Afu kuna ndezi wanasema free sijui ujinga gani?
Shetan
 
Jamaa lazima atundikwe mingine 30, atakuta mkewe ana mtoto wa miaka 20 by the time anatokamo...kijana ni JAMBAZI tena sugu...too sad Million 90 uzipate bure bure tu bila kufanya kazi, tena unachukua kwa mwenzio as simple as that.
 
Back
Top Bottom