Kesi ya Sabaya: Shahidi aeleza Sabaya alivyoletewa hotpoti la wali na chupa ya Wine

Kesi ya Unyang'anyi wa kutumia Silaha namba 105/2021 inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, imeendelea katika mahakama ya hakimu Mkazi Arusha ambapo shahidi wa nne amemtambua mahakamani kwankumshika.bekga mshtakiwa wa pili Silvester Nyegu kuwa ndiye aliyekuwa akimletea chupa ya wine ,Koti na hotpoti la wali mshtakiwa wa kwanza katika eneo la tukio.

Aidha shahidi huyo Hajirin Saad (32)mfanyabiashara wa duka jijini Arusha ameieleza mahakama alivyoombwa rushwa ya sh,milioni 70 na mmoja wa mabaunsa wa Sabaya ili aachiliwe kwenye chumba Cha mateso.

Akiongozwa na wakili mkuu wa Serikali Abdalah Chavula,Mbele ya hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo ,Shahidi alieleza jinsi Sabaya na wasaidizi wake walivyomteka yeye , wahudumu wa duka na kumfunga pingu mwanamke mmoja huku akiwa na bastola mkononi.

Alieleza kwamba Sabaya alimnyang'anya simu yake ya mkononi baada kufika katika duka la kaka yake linalojulikana kwa jina la Shaahid Store na kumlazimisha ampigie simu mwenye duka .

Shahidi alidai kuwa siku ya tukio February 9 mwaka 2021 alishuhudia Sabaya akiamrisha mabaunsa wake wamtoe Wenge diwani wa Sombetini Bakari Msangi ambapo alipigwa kipigo kikali Cha Makofi masikioni akiwa amepiga magoti katika duka hilo.

Alieleza kuwa pamoja na kipigo hilo Sabaya aliamrisha Msangi apekuliwe na kuchukuliwa simu yake ya mkononi pamoja na pochi iliyokuwa mfukoni.

Shahidi alidai kuwa Sabaya alimwambia Msangi kwa nini amashirikiana na mwarabu kubadilisha fedha za kigeni na kuhujimi nchi.

Alisema Msangi aliendelea kupigwa huku akilalamika na baadaye alimrukia Sabaya miguuni mwake na kumwambia asimuue kwani mke na Mtoto wake walikuwa wanaumwa na pia mdogo wake ambaye ni meya wa jiji la Moshi ni Rafiki yake.

"Nilimwona Sabaya akichomoa bastola nyeusi na baadaye alimpa baunsa wake ambao walikuwa wakipokezana na walikuwa na radio ya upepo "radio coll wakiwasiliana na wenzao waliokuwa nje ya duka "alisema

Akiendelea kueleza kuwa akiwa chini amepiga magoti dukani alinyanyuliwa na kuingizwa kwenye chumba kimojawapo katika duka hilo na Sabaya alikuja na kumwamuru amuite kwa jina la 'General More Power' pia aliamrish nitolewe Wenge na baunsa mmoja alianza kumpiga kwa Mikono miwili masikioni .

Alisema baadaye Sabaya na baunsa mmoja walitoka katika kile Chumba na kubaki na baunsa mmoja ambapo baunsa huyo alimwambia atuliye yatakwisha na kumwambia atoe kiasi cha sh,milioni 70 ili akaongee na Sabaya ili aweze kuachiwa.

Shahidi alidai baada ya nusu saa alitolewa kwenye kile chumba na kuletwa dukani ambapo alimwona Sabaya akimwagiza mmoja ya wasaidizi wake aletewe wali ,Wine na Koti .

Alidai kuwa baadaye yeye na mjomba wake Numan Saad walipakiwa kwenye gari la Sabaya aina ya VX nyeupe hadi nyumbani kwa mama yao eneo la Bondeni ambapo Sabaya alimtaka Numan ampigie simu mama yake ili afungue geti ,lakini Numai aliongea kwa lugha ya kiaramu alimtaka mama yake asifungue geti.

Alieleza kuwa baadaye waliondoka eneo hilo baada ya geti kutofunguliwa na kwenda kituo kikuu cha polisi ambapo Sabaya aliwakabidhi kaunta yeye na Numan na kuwataka polisi kuwaandikisha maelezo kwani ni watuhumiwa wake wa uhujumu uchumi.

Ends....
Watu wameshuhudia season live😀
 
Haahaaahaa Aisee hiyo ya hotpot la wali na wine linachekesha Sana

La generali More Power alitisha Sana!

Jamaa alikua anajiona bonge la James bond!
😂😂😂😂😂
 
Sabaya anatakiwa ahukumiwe kunyongwa hadi kufa,,, Kifungo Cha maisha hakitoshi,, Au afanyiwe ya ditopile mzuzuri au ya lisu, au ya kolimba au ya magufuli au ya mfugale ya sokoine tofauti na hapo hakuna hukumu nyingine
 
'General more power'... teh teh teh..😂😂😂....maisha haya...?
 
na bado ni mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha? ...kweli uvccm ni genge la maharamia
 
Back
Top Bottom