Kesi ya Sabaya: Shahidi aeleza Sabaya alikuwa na vijana zaidi ya 10 alipovamia duka

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
693
1,000
Arusha. Shahidi wa tano wa Jamuhuri katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Seleman Kassim Msuya (36) ameileza mahakama kuwa akiwa nje dukani kwake alimuona Sabaya akiongoza vijana wake kati ya 11 hadi 12 kuingia dukani kwa Shaahid Store na kufunga milango wakiwa na bastola mbili.

Shahidi huyo ametoa ushahidi leo, Julai 27, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Odira Amworo wakati akiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka.

Shahidi huyo ameeleza kuwa siku ya tukio Februari 9, 2021 Sabaya aliyekuwa na vijana wake kati ya 11 hadi 12 walishuka katika magari matatu waliyokuwa nayo na kisha kuingia dukani ambapo nje ya duka walibaki vijana watatu na kati yao wawili wakiwa na silaha aina ya bastola na mmoja akiwa na radio call.

Akiongozwa na Wakili Kweka shahidi huyo aliieleza mahakama kuwa siku ya tukio Sabaya alifika dukani kwa Shaahid Store wakiwa na magari matatu yenye namba STJ, DFP na lingine lenye usajili wa namba binafsi za kawaida.

Shahidi huyo ambaye pia ni mfanyabiashara wa magodoro ya jumla na rejareja, alidai duka lake liko jirani kwa Shaahid Store ambapo Sabaya na wenzake wanadaiwa kulivamia.

Amesema kuwa akiwa nje ya duka hilo akiendelea na shughuli zake aliona magari matatu ambapo alimtambua aliyeshuka kuwa ni Sabaya na kundi la vijana na kuwa walipopita maeneo ya dukani kwake alisalimia na Sabaya na alipomkaribisha anunue godoro ofisini kwake mshitakiwa huyo alimwambia hahitaji na badala yake anahitaji huduma nyingine kwa jirani.

Amesema baada ya Sabaya na kundi lake kuingia dukani humo milango ilifungwa na hakuweza kujua kinachoendelea ndani na ilipofika majira ya saa 12:30 jioni alifunga dukani kwake na kukaa ndani ya gari lake nje ya dukani.

"Wakati nafunga niliona vijana wasaidizi wa Sabaya watatu wawili wakiwa na silaha aina ya bastola na mmoja akiwa na redio call, nilikaa kwenye gari yangu mpaka saa mbili kasoro kutaka kujua kwa jirani yangu kuna nini na nilimpigia mwenye duka ila sikumpata," alidai.

Shahidi huyo aliweza kumtambua Sabaya mahakamani hapo kwa kumshika bega kama alivyotakiwa na Wakili Kweka ambapo washitakiwa wengine ni Sylvester Nyegu na Daniel Mbura.

Akihojiwa na Wakili wa utetezi Mosses Mahuna shahidi huyo alidai kuwa analifahamu duka la Shaahid Store kwa kuwa alimkuta katika eneo hilo na mkataba wa upangaji wa duka hilo una jina la mmiliki wake Mohamed Al Saad.

Amedai kuwa mkataba huo ni wa muda wa miaka mitatu kuanzia mwaka 2018 na kuwa wakati anasalimiana na Sabaya hakuona akiwa ameshika silaha na badala yake aliwaona vijana wake wawili wakiwa na bastola nje ya duka hilo huku mmoja akiwa na radio call.
 
Abel2021

Member
May 8, 2021
40
125

Jana mtu mmoja wa Hai ameniambia alikuwa anaijiita general DC
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
957

Amedai kuwa mkataba huo ni wa muda wa miaka mitatu kuanzia mwaka 2018 na kuwa wakati anasalimiana na Sabaya hakuona akiwa ameshika silaha na badala yake aliwaona vijana wake wawili wakiwa na bastola nje ya duka hilo huku mmo
Ushahidi ni tofauti kabisa na tulivyoaminishwa mwanzoni.
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,579
2,000
Arusha. Shahidi wa tano wa Jamuhuri katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Seleman Kassim Msuya (36) ameileza mahakama kuwa akiwa nje dukani kwake alimuona Sabaya akiongoza vijana wake kati ya 11 hadi 12 kuingia dukani kwa Shaahid Store na kufunga milango wakiwa na bastola mbili.

Shahidi huyo ametoa ushahidi leo, Julai 27, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Odira Amworo wakati akiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka.

Shahidi huyo ameeleza kuwa siku ya tukio Februari 9, 2021 Sabaya aliyekuwa na vijana wake kati ya 11 hadi 12 walishuka katika magari matatu waliyokuwa nayo na kisha kuingia dukani ambapo nje ya duka walibaki vijana watatu na kati yao wawili wakiwa na silaha aina ya bastola na mmoja akiwa na radio call.

Akiongozwa na Wakili Kweka shahidi huyo aliieleza mahakama kuwa siku ya tukio Sabaya alifika dukani kwa Shaahid Store wakiwa na magari matatu yenye namba STJ, DFP na lingine lenye usajili wa namba binafsi za kawaida.

Shahidi huyo ambaye pia ni mfanyabiashara wa magodoro ya jumla na rejareja, alidai duka lake liko jirani kwa Shaahid Store ambapo Sabaya na wenzake wanadaiwa kulivamia.

Amesema kuwa akiwa nje ya duka hilo akiendelea na shughuli zake aliona magari matatu ambapo alimtambua aliyeshuka kuwa ni Sabaya na kundi la vijana na kuwa walipopita maeneo ya dukani kwake alisalimia na Sabaya na alipomkaribisha anunue godoro ofisini kwake mshitakiwa huyo alimwambia hahitaji na badala yake anahitaji huduma nyingine kwa jirani.

Amesema baada ya Sabaya na kundi lake kuingia dukani humo milango ilifungwa na hakuweza kujua kinachoendelea ndani na ilipofika majira ya saa 12:30 jioni alifunga dukani kwake na kukaa ndani ya gari lake nje ya dukani.

"Wakati nafunga niliona vijana wasaidizi wa Sabaya watatu wawili wakiwa na silaha aina ya bastola na mmoja akiwa na redio call, nilikaa kwenye gari yangu mpaka saa mbili kasoro kutaka kujua kwa jirani yangu kuna nini na nilimpigia mwenye duka ila sikumpata," alidai.

Shahidi huyo aliweza kumtambua Sabaya mahakamani hapo kwa kumshika bega kama alivyotakiwa na Wakili Kweka ambapo washitakiwa wengine ni Sylvester Nyegu na Daniel Mbura.

Akihojiwa na Wakili wa utetezi Mosses Mahuna shahidi huyo alidai kuwa analifahamu duka la Shaahid Store kwa kuwa alimkuta katika eneo hilo na mkataba wa upangaji wa duka hilo una jina la mmiliki wake Mohamed Al Saad.

Amedai kuwa mkataba huo ni wa muda wa miaka mitatu kuanzia mwaka 2018 na kuwa wakati anasalimiana na Sabaya hakuona akiwa ameshika silaha na badala yake aliwaona vijana wake wawili wakiwa na bastola nje ya duka hilo huku mmoja akiwa na radio call.
Huyo matakle sabaya jambazi mwenzake na marehemu magufuli hachomoki kwenye hiyo kesi na vile jambazi kuu limeshakufa hana wa kumkingia kifua
 
yakowazi

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
1,723
2,000
Hata Mbowe afungwe chap
Ushahidi wako ukithibiti bilashaka itakuwa hivyo

IMG-20210404-WA0000.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom