Kesi ya rada kuunguruma kesho............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya rada kuunguruma kesho.............

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rutashubanyuma, Nov 22, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,895
  Likes Received: 416,601
  Trophy Points: 280
  Gazeti la Majira limetuhabarisha ya kuwa ile kesi ya radar itaanza kusikilizwa kesho jijini London uingereza............Na hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa kesi hiyo kutajwa mahakamani hapo................
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Je Vijisenti anaenda kuhudhuria?
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hiyo Kesi huko UK itaisha kimya kimya kwa faida ya maslahi ya UK. Ndio Maaana BAE walikubali kulipa fine. I can feel that lazima system ya kule iliwahakikishia kuwa the whole truth wont be uncovered.

  Serikali ya UK ilibidi ifute kesi kama hii ya rushwa ya BAE kuuzia vifaa UAE. UAE kujua kuna watoto wa wafalme walihusika walitishia kusitsha mikatabaya kunuanua silaha UK. Kesi hiyo nao ilipotea. So hata Waingereza mbele ya maslahi yao wanapindisha mambo
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,895
  Likes Received: 416,601
  Trophy Points: 280
  Ni kweli na ndiyo maana watuhumiwa wakuu hapa nchini kama Chenge, Scotland Yard yawaita ni mashahidi.....how comes thieves were sheathed with the witness titular?
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna yule mama alikuwa waziri alijiuzuru kwa kashfa hii lakini utashangaaa watanzania wenzetu waliopo huko UK hawajawai hata kuonyesha kukerwa na hili jambo walau kuandamana. People are busy opening matawi ya vyama Nje.

  Nadhani hii kasumba ya kufungua matawi ya vyama nje ni kujaribu ku neutralise pressure ya watanzania wa nje. Na wanafanikiwa

  Bado Tuna kesi Prof Costa Mahalu ya Ubalozi wa Italy sijui nayo vipi.??????

  Nadhani itakuwa vizuri wanasheria watuwekee thread ya list and status ya kesi kubwa za UFISADI na status zake todate
   
 6. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Ciku hizi wazungu nao wasanii, hamna kitu
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,895
  Likes Received: 416,601
  Trophy Points: 280
  I totally agree with this view.................
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Kakak una habari? hii ilishaisha sikunyingi, kilicho baki ni mahalu tu kudai fidia.
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Please kibanga kuwa serious iliishaje ?
  Naona hata Liyumba naye JK atamjajirisha zaidi kwa fidia.

  Kweli Tanzania kazi ipo
   
Loading...