Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 220,708
- 728,539
Gazeti la majira limetupasha ya kuwa ile kesi ya ufisadi wa rada yetu ya kijeshi kuanza kunguruma kwa mara ya kwanza uingereza kesho...................
Gazeti la majira limetupasha ya kuwa ile kesi ya ufisadi wa rada yetu ya kijeshi kuanza kunguruma kwa mara ya kwanza uingereza kesho...................
Wamtie pingu chenge na kumpeleka huko UK akajibu ufisadi wake, wapumabvu kama wakina Chenge ndio tuiotaka hata kuwaona katika hii nchi yetu iliyonzuri lakini inaharibiwa na washenzi wasio kuwa na hata aibu kwa Taifa. Bora wamfunge jela na ufunguo utupwe baharini asitoke tena hatumtaki tena Pumbafu sana huyo. wametuuibia sana kodi zetu.:redfaces:
Jeykey alishamsamehe na atakachokifanya ni kutokupeleka mashtaka na uwakilishi ili Tanzania ionekane iliridhika na bei
Kama waliridhika na bei sasa ile bakshishi kutoka UK waliokuwa waimezea mate inatoka wapi kama siyo bei ilichakachuliwa kubeba ulaji wa jamaa fulani fulani tu..............
Taarifa zilisema itasikilizwa Southwark Crown Court. Kwahiyo inaweza kuwepo kwenye list ya kesho! Link hapo chini...
CourtServe Information Centre