Elections 2010 kesi ya Nimrod Mkono iliishia wapi

jjeremiah

Member
Jul 30, 2010
43
13
Katika toleo moja la gazeti la Raia Mwema toleo no 148 la Agosti 25-31 2010 ilipotiwa kwamba mgombea wa Musoma vijijini Bw Nimrod Mkono amefikishwa TAKUKURU na uongozi wa CHADEMA kwa madai ya kumuhonga mgombea wao (CHADEMA) Bw Michael Makenji kiasi cha EURO 1000/- sawa na kama TZS 2000000/- ilidaiwa kuwa ushahidi upo na tena ni wa kisayansi na Bw Makenji alikiri kutokea kwa hali hiyo, lakini toka siku hizo sikuwahi kusikia tena chochote kuhusiana na kesi hiyo, kama kuna yeyote mwenye habari atujuze.
 
Naamini hivyo ni vipolo ambavyo mara baada ya Kuapishwa, kina Tundu Lisu wale wote waliopita bila kupoingwa kwa hila watapelekwa kwa pilato. katiba ya sasa hitambui wabunge wanaopita bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom