Kesi ya Nassari na madiwani 28 yaahirishwa baada ya Hakimu kutokuwepo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Kesi ya uharibifu wa mali inayowakabili mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na madiwani 28 imeahirishwa hadi August 02 mwaka huu kutokana na hakimu anayesikiliza kesi hiyo Agustino Rwezire kutokuwepo mahakamani.
 
Back
Top Bottom