Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
8,034
2,000
Kuna gari lilionekana na maandishi LAKE oil
Ukitaja Lakeoil maafande wote wa policcm wanatetemeka.
Mnakumbuka yule mhindi aliyeteswa mpaka akafanywa na mijitu iliyo na uchu wa tiGO kesi yake iliishia wapi? Aliipeleka hata pm lkn alionekana mngese tu maana hata hivyo Ni mngese (si alisema mwenyewe walimuingilia)
Watu Kama GSM, LAKEOIL usipende ukorofishane nao.
Ogopa pesa lkn ogopa zaidi power.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
183,271
2,000
Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana.

Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa Serikali yetu.
Mdogo wangu ndege JOHN kuna maji yametulia lakini kina chake ni kirefu haifai kuyavagaaa
Screenshot_20211123-153543.jpg
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,430
2,000
Kuna kesi moja nilimshimtaki Mjenzi kwenye Mahakama ya mwanzo, Mjenzi akaitwa Mahakamani,kufika tu Mahakamani kumbe Hakimu alikua na shida ya kokoto Kama Lori tano hivi, Basi hapo hapo kesi yangu ikasahaulika watu wakaanza kuongea biashara ya kokoto! Nikapigwa tarehe mpaka Leo napigwa danadana! Maisha haya kiboko!!
! Nimecheka sana kama mazuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa kubwa hiyo na huenda ikazidi na thamani ya gharama ulizokuwa unamdai!

Kwa mswahili anaona fahari sana kuhonga kiasi kikubwa, huku akikudidimiza wewe unayemdai chako cha halali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,430
2,000
Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana.

Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa Serikali yetu.
Mkuu wanakataa kuita hivyo, rekebisha kauli. Sema: "yule mtuhumiwa wa..." na siyo "yule mwizi"

Wahalifu wanabembelezwa hadi apatikane na hatia afungwe.

Lakini sasa cha ajabu, hata akihukumiwa haitwi mwizi bado, huitwa mfungwa!

Nafasi ile ya kumuita mwizi kwa cheo chake kinachomstahili haipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,108
2,000
Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana.

Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa Serikali yetu.
Kuna mtu alie karibu na mtuhumiwa wa wizi huo, alinambia kesi ilishahukumiwa kulipa sh milioni 100 au kifungo miaka 2. Alikupa faini!
 
haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,165
2,000
Kipindi hiki cha awamu ya 6 kila mtu ajinyamazie tu na kuangalia hadi 2025 .

Kwa kufuatilia sasa kile kitabu cha mwaka 1977 kimeipeleka ccm kusiko.

Maza na Dr Mwinyi ni ndugu sasa. Nchi inaendeshwa na kaka na dada.

Mengi tutayasikia.
Bora kuliko bwana yuleee
 
mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
751
1,000
Kuna kesi moja nilimshimtaki Mjenzi kwenye Mahakama ya mwanzo, Mjenzi akaitwa Mahakamani,kufika tu Mahakamani kumbe Hakimu alikua na shida ya kokoto Kama Lori tano hivi, Basi hapo hapo kesi yangu ikasahaulika watu wakaanza kuongea biashara ya kokoto! Nikapigwa tarehe mpaka Leo napigwa danadana! Maisha haya kiboko!!
Ahaaaaa mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom