Kesi ya mwangosi kuamuliwa tarehe 21 July 2016

kilaza mjanja

JF-Expert Member
Jun 2, 2016
654
1,143
Hukumu ya kesi ya mauaji ya mwandishi Daudi Mwangosi kutolewa 21 July 2016 Mahakama kuu Kanda ya Iringa.

Chanzo: : ITV

Swali je haki itapatikana?
 
Yale yalikuwa ni mauaji ya kukusudia pasipo na chembe ya shaka. Nashangaa ni kwanini hii kesi imechukua muda wote huo. Upelelezi haukukamilika?
 
Lets hope for good.. Naamin kama mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu basi vile vile na hukumu... Mtazamo wangu tu
 
Back
Top Bottom