Kesi ya million 900

beko

Senior Member
Apr 11, 2011
189
91
Naomba mwenye kumbu kumbu kuhusu ile kesi iliyokua inanguruma sana wakati wa Mrema kuhusu rushwa ya million 900 dhidi ya Mkapa na serikali yake iliishia wapi?
Naomba mwenye kumbukumbu atujulishe

natanguliza shukrani
 
Mwenye kumbukumbu tunakusubili maana nimemwina Mrema analalamika Mahita alimbambikia kesi hii.
 
Back
Top Bottom