Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
Nakumbuka Naibu Katibu Mkuu, Salimu Mwalimu alitangaza kuwa Wanasheria wa Chadema, Tundu Lissu na Peter Kibatala walitakiwa kwenda ARUSHA kuongeza nguvu katika kesi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.
TUNDU Lissu na Peter Kibatala walikuwa wanakwenda kuungana na mawakili John Mallya, Adam Jabir, Sheck Mfinanga, Faraji Mangula na Charles Adiel ili kuhakikisha Lema anapata dhamana.
Tundu Lissu ameingia mitini kwenye kesi hii, Je kama wakili mzoefu ameona hali ya kesi imekaa vibaya na kwamba uwezekano wa Lema kuchomoka ni mdogo na hivyo ameamua kujiepusha na aibu ya kushindwa? Au naye ameanza kumchoka Lema?