Kesi ya Mbowe: Watanzania hatuhoji uhalali au uwezo wa Mahakama, bali uwezo wa Majaji - Msimamizi uko wapi- Kwanini mnaichosha Mahakama ya Rufaa?

Vyovyote iwavyo:
1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu
2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni.
3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga unga?
4. Jaji hawezi amua kielelezo hakifai na ilihali alisha amua huko nyuma nini kinafaa na nini kifanyike
5. Ni kushusha hadhi ya mahakama na kuwafanya majaji wetu wote ni vihiyo kitu ambacho si kweli
6. Jaji kiongozo hapo ulipo ujitafakari sana.
7. Maelezo ya onyo CPA 169 kifungu 3- serikali/Jamuhuri inatakiwa kuthibitisha kwamba maelezo yalikuwa halali- Whoever alleges , has the onus to prove and si vingibevyo
8. Watuhumiwa wote wanasema maelezo yao yalichukiwa sehemu moja, barua hiyo ingewafanya Jamuhuri walete vithibitisho maana ni kazi yao ku- prove and kudisi-prove na yanayosemwa na watuhumiwa- hii ndio njia pekee ya mahakama kulinda haki za mtumiwa. Mahakama iko pale kulinda haki za watu wote ikiwemo washtakiwa na washtaki.
9. mahakam ina uwezo wa kumuita mtu yeyote kwa summons (subponea) ili aje atoe ushahahi wa kile kinachosemwa au kuharalishwa documents za ushadihidi ziletwe mahakamani, sasa ni kwa ni ni huyu Tiganga kama si kihiyo asifanye hivyo ili kutatua kesi hii katika suala hili la diocuments na chain of custody?
10. Unaficha chain of custody ya polisi kwa maana gani haswa ? Iletwe na tuwajue pia mbona unawakingia kifua hao Polisi?
11. Tiganga (sukuiti Mheshima maana kwa maamuzi yako mpaka sasa, huo uheshimiwa haukufai), uwezo wako mdogo unazichafua mahakama zetu katika jumuia ya kimataifa- amua kwa haki, kisheria na kama common law legal system inavyo kutaka.
12. Fursa ya judge ni kuwa referee wa haki lakini mpaka sasa unaonekana ni referee wa upande mmoja, ni dhambi hata mbele ya Muumba wako-Jitafakari maana huna zaidi ya miaka 70 ya kuishi toka sasa, huko mbeleni utajibu nini mbele ya mtenda haki mkuu... Mola Muumba wako?

13. Mwishio-haya ni Maoni yangu, Povu ruksa kama mtanzania ninaye practice sheria katika mahakama za kimataifa, Judge asema documemt haikufuata chain of custody ... Ni kweli kwamba two wrongs do not make it right. Kwa nini sasa unazuia chain of custody ya police isijulikane... Unawasaidia kuficha nini hawa police?
Haki si tu itendeke bali ionekane inatendeka kwa walimwengu wote hata wale wasio kuwa na interest na kesi hii, ikiwemo mimi binafsi...
Hakuna mahakama hapo hilo ni tawi kuu la CCM
 
Kwenye hii kesi kama jaji tayari anayo hukumu mfukoni, lazima ataonekana kilaza tu. Makombola wanayolusha mawakili wa utetezi sio ya karne hii

Ile barua ya Ling'wenya aliyotaka mahakama iipokee kama kielelezo cha ushaidi wake, imemchora vibaya sana jaji na Mahakama yake

Na hili kombola lililolushwa jana na shaidi wa pili wa upande wa utetezi si la kitoto hata kidogo, litampa shida sana jaji na mawakili wa jamuhuri.

Kwa kifupi mawakili wa upande wa utetezi wamejipanga vizuri sana na Inavyoelekea kuna makombola mengi sana ya hatari yanasubili kufyatuliwa. Hii kesi tutashuhudia mambo mengi sana ambayo yataleta aibu kwa Serikali, Jaji na mahakama
Uteuzi wa majaji inabidi uangaliwe upya na sifa isiwe urafiki, ukoo, kujuaana, udini na ukabila iwe ni uwezo wa mtu na afanyiwe interview kwenye public
 
Hakuna kesi, ndiyo maana hawajui hata wanachosikiliza na kuhukumu ni kipi...
 
Watuhumiwa wote wanasema maelezo yao yalichukiwa sehemu moja, barua hiyo ingewafanya Jamuhuri walete vithibitisho maana ni kazi yao ku- prove and kudisi-prove na yanayosemwa na watuhumiwa- hii ndio njia pekee ya mahakama kulinda haki za mtumiwa. Mahakama iko pale kulinda haki za watu wote ikiwemo washtakiwa na washtaki
 
Mahakama Kuu Tanzania lindeni hadhi yenu, hii kesi inafuatiliwa na dunia nzima, msije mkajikuta kwenye ranking ya ubora mpo sawa na Somalia pamoja na Afghanistan.
 
Na hili kombola lililolushwa jana na shaidi wa pili wa upande wa utetezi si la kitoto hata kidogo, litampa shida sana jaji na mawakili wa jamuhuri.
Jaji kashidwa kulinda haki ya mshitakiwa, Mshitakiwa katamka wazi hakuwahi kupeledwa Central - Jaji kakataa upande wa Jamhuri kuleta ushahidi wao kuonyesha ni kweli walimfikisha ama hawakumfikisha.

Mahakama haina mzani, na hii ni kitu mbaya sana... kwa hili Jaji umechemka tena saaana.
 
Vyovyote iwavyo:
1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu.

2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni.

3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga unga?

4. Jaji hawezi amua kielelezo hakifai na ilihali alisha amua huko nyuma nini kinafaa na nini kifanyike.

5. Ni kushusha hadhi ya mahakama na kuwafanya majaji wetu wote ni vihiyo kitu ambacho si kweli

6. Jaji kiongozo hapo ulipo ujitafakari sana.

7. Maelezo ya onyo CPA 169 kifungu 3- serikali/Jamuhuri inatakiwa kuthibitisha kwamba maelezo yalikuwa halali- Whoever alleges , has the onus to prove and si vingibevyo.

8. Watuhumiwa wote wanasema maelezo yao yalichukiwa sehemu moja, barua hiyo ingewafanya Jamuhuri walete vithibitisho maana ni kazi yao ku- prove and kudisi-prove na yanayosemwa na watuhumiwa- hii ndio njia pekee ya mahakama kulinda haki za mtumiwa. Mahakama iko pale kulinda haki za watu wote ikiwemo washtakiwa na washtaki.

9. mahakam ina uwezo wa kumuita mtu yeyote kwa summons (subponea) ili aje atoe ushahahi wa kile kinachosemwa au kuharalishwa documents za ushadihidi ziletwe mahakamani, sasa ni kwa ni ni huyu Tiganga kama si kihiyo asifanye hivyo ili kutatua kesi hii katika suala hili la diocuments na chain of custody?

10. Unaficha chain of custody ya polisi kwa maana gani haswa ? Iletwe na tuwajue pia mbona unawakingia kifua hao Polisi?

11. Tiganga (sukuiti Mheshima maana kwa maamuzi yako mpaka sasa, huo uheshimiwa haukufai), uwezo wako mdogo unazichafua mahakama zetu katika jumuia ya kimataifa- amua kwa haki, kisheria na kama common law legal system inavyo kutaka.

12. Fursa ya judge ni kuwa referee wa haki lakini mpaka sasa unaonekana ni referee wa upande mmoja, ni dhambi hata mbele ya Muumba wako-Jitafakari maana huna zaidi ya miaka 70 ya kuishi toka sasa, huko mbeleni utajibu nini mbele ya mtenda haki mkuu... Mola Muumba wako?

13. Mwishio-haya ni Maoni yangu, Povu ruksa kama mtanzania ninaye practice sheria katika mahakama za kimataifa, Judge asema documemt haikufuata chain of custody ... Ni kweli kwamba two wrongs do not make it right. Kwa nini sasa unazuia chain of custody ya police isijulikane... Unawasaidia kuficha nini hawa police?

Haki si tu itendeke bali ionekane inatendeka kwa walimwengu wote hata wale wasio kuwa na interest na kesi hii, ikiwemo mimi binafsi...
Niwakumbushe Jaji Mkuu Mstaafu alipoenda Ikulu kumuona Rais mwendazake alisema hakuna kitu kinachowapa shida kama vimemo vya maelekezo ya maamuzi ya kesi! Neno hili kwa nchi zenye utawala wa sheria ni zito sana japo sisi lilionekana ni maongezi ya wacheza bao! Jaji anayeapishwa na Rais anawajibika kutoa uamuzi ambao Rais anautaka, vinginevyo acha kazi na utakiona cha mtemakuni.
 
Back
Top Bottom