mashahidi wasio kuwa na ushahidi. Kesi ya uongo ni ngumu sana kuitetea.Jamaa yuko sawa kawambia kiungwana tu ili kuondoa mgongano kati ya muhimili wa utendaji na mahakama maana iko wazi ushahidi huo hawana

Mtuhumiwa wa Ugaidi akaruhusiwa kugombea UbungeKinachonifikirisha ni kwa nini mtuhumiwa wa kosa kubwa kama hili aliachwa huru wakati washirika wake wamekamatwa! Hivi hakujua kuwa washirika wake wamekwisha kamatwa na dili limebunguluka? Kwa nini alikuwa anaenda nchi za nje na kurudi alijiamini nini? Au walikuwepo washirika wakubwa zaidi waliokuwa wanampa ujasiri na asichukue hatua yeyote kujilinda? Kwa nini alipewa nafasi kwenye sherehe kule Mwanza kuongea mbele ya Rais? Ngoja nisubiri mashahidi wengine pengine nitapata jibu, la sivyo kwangu ni ngumu kumeza.
Wewe wasema!!
Hapo napo je?Mtuhumiwa wa Ugaidi akaruhusiwa kugombea Ubunge
Kulkuwa hakuna vilipuzi...ni bastola iliyoelezwa kuwa na risasi 3 lakini 2 zikaelezwa kuwa zilitumika kwenye majaribio ya hiyo silahaUkweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao.
Inchi inarudi kwenye furaha. Mama anajaribu kuonesha kuwa nchi inarudi kwenye utawala wa sheria.! Tena Sheria zinazotenda haki. Sio Sheria hizi za juzi juzi za mitandao zilizolalamikiwa ndio ziondoke na mwanasiasa mashuhuri itaonesha wazi kuwa ilipangwa. Mmsaidie kwenye Hilo.
Kupitia mahakama, Mandela alifungwa. Nyerere kwenye harakati alifungwa, Mugabe alifungwa lkn haki ilikuja kupatikana.
Tukifosi ushaidi finyu hukumu yetu kesho itabaki kuwa kumbukumbu kubwa duniani. Leo mahakamani dunia nzima ipo kufatilia kesi ya Mbowe kupitia mabalozi wao. Siku ya hukumu nakala za hukumu hiyo, ushaidi na kilakitu vitachukuliwa na kuchambuliwa dunia nzima. Kupitia hukumu hiyo dunia itajua Ubora wa mahakama zetu.
Mi si mwanasheria lkn mh!
1.kwa kiongozi "jambazi" aliyetaka kudhuliwa(kwa mujibu wa kibatala).
2. Kwa ushaidi wa kubambikia watu kesi kwa mashaidi muhimu
3. Kwa maelezo ya kudhuru viongozi(wengi) Ila mpaka leo anayetajwa NI kiongozi 1.
4. Kwa ushaidi wa maneno ya wasiri. Kwanini wasiri wasije wenyewe waelezee Hali alisi.
5. Kwa sprey isiyokuwepo.
6.kwa vilipuzi pisto 1 na risasi 3.
Njooni na ushaidi mzito Mbowe asitoboe. Muwe siliasi. Msitupeleke vikwazoni Kama Zimbabwe.
Vikao kila siku jinsi ya kujikwamua na hii aibu inayoipata jamhuri. Kiufupi waliobuni hawakujipanga, walitegemea mgongo wa jiwe kwa ubabe na ujeuri wake juu ya mhimili wa mahakama kuwafunga kina Mbowe.TISS ndio wamepanga huu utopolo , mama kapewa matango poli akayabugia , majaji wakaelekezwa na wamekubali bila kujali aibu inayowakabili
Na walijua kesi itakua gizani wamfunge kimichongo, wamekuja kustuka kesi ipo live kwenye mitandao ya kijamii kila kitu kinachoendelea mahakamani kipo live..Hii kesi ya Mbowe 'ilisukwa' wakati wa mwendazake lakini ushahidi ukaonekana utakuwa 'utopolo' wakaweka kabatini
Awamu hii wakaamua kuitoa kabatini bila kufikiri na kuipeleka mahakamani kwa mbwembwe kubwa hadi mama akashadadia baada ya kulishwa matango pori.
Sasa wanavuliwa nguo mchana kweupe na kuchutama wanakuwa wazito sana
Mama apate kiburi cha urais asiwe kama mlnitir wa darasa primary kila kitu yes from mwalimu akidhani mwalim mjuvi sana kumbe business as usual. Tiss wanapalilia ugali wao wanamtisha report fake za 2025 kuwa Mbowe akisimamia katiba nchi haitawaliki acha tumpoteze utawale kwa raha kumbe sio kweli.TISS ndio wamepanga huu utopolo , mama kapewa matango poli akayabugia , majaji wakaelekezwa na wamekubali bila kujali aibu inayowakabili
Ukiwaamini viongozi wa ccm hadi shetani atakushangaaWhat a contradiction!!!View attachment 2000329
Ukweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao.
Inchi inarudi kwenye furaha. Mama anajaribu kuonesha kuwa nchi inarudi kwenye utawala wa sheria. Tena Sheria zinazotenda haki. Sio Sheria hizi za juzi juzi za mitandao zilizolalamikiwa ndio ziondoke na mwanasiasa mashuhuri itaonesha wazi kuwa ilipangwa. Mmsaidie kwenye Hilo. Kupitia mahakama, Mandela alifungwa. Nyerere kwenye harakati alifungwa, Mugabe alifungwa lkn haki ilikuja kupatikana.
Tukifosi ushaidi finyu hukumu yetu kesho itabaki kuwa kumbukumbu kubwa duniani. Leo mahakamani dunia nzima ipo kufatilia kesi ya Mbowe kupitia mabalozi wao. Siku ya hukumu nakala za hukumu hiyo, ushaidi na kilakitu vitachukuliwa na kuchambuliwa dunia nzima. Kupitia hukumu hiyo dunia itajua Ubora wa mahakama zetu.
Mi si mwanasheria lkn mh!
1. kwa kiongozi "jambazi" aliyetaka kudhuliwa(kwa mujibu wa kibatala).
2. Kwa ushaidi wa kubambikia watu kesi kwa mashaidi muhimu
3. Kwa maelezo ya kudhuru viongozi(wengi) Ila mpaka leo anayetajwa NI kiongozi 1.
4. Kwa ushaidi wa maneno ya wasiri. Kwanini wasiri wasije wenyewe waelezee Hali alisi.
5. Kwa sprey isiyokuwepo.
6. Kwa vilipuzi pisto 1 na risasi 3.
Njooni na ushaidi mzito Mbowe asitoboe. Muwe siliasi. Msitupeleke vikwazoni Kama Zimbabwe.
Kisu tu kinaweza kukutia hatiani,wewe unabeza bastola na risasi zake?Ukweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao.
Inchi inarudi kwenye furaha. Mama anajaribu kuonesha kuwa nchi inarudi kwenye utawala wa sheria. Tena Sheria zinazotenda haki. Sio Sheria hizi za juzi juzi za mitandao zilizolalamikiwa ndio ziondoke na mwanasiasa mashuhuri itaonesha wazi kuwa ilipangwa. Mmsaidie kwenye Hilo. Kupitia mahakama, Mandela alifungwa. Nyerere kwenye harakati alifungwa, Mugabe alifungwa lkn haki ilikuja kupatikana.
Tukifosi ushaidi finyu hukumu yetu kesho itabaki kuwa kumbukumbu kubwa duniani. Leo mahakamani dunia nzima ipo kufatilia kesi ya Mbowe kupitia mabalozi wao. Siku ya hukumu nakala za hukumu hiyo, ushaidi na kilakitu vitachukuliwa na kuchambuliwa dunia nzima. Kupitia hukumu hiyo dunia itajua Ubora wa mahakama zetu.
Mi si mwanasheria lkn mh!
1. kwa kiongozi "jambazi" aliyetaka kudhuliwa(kwa mujibu wa kibatala).
2. Kwa ushaidi wa kubambikia watu kesi kwa mashaidi muhimu
3. Kwa maelezo ya kudhuru viongozi(wengi) Ila mpaka leo anayetajwa NI kiongozi 1.
4. Kwa ushaidi wa maneno ya wasiri. Kwanini wasiri wasije wenyewe waelezee Hali alisi.
5. Kwa sprey isiyokuwepo.
6. Kwa vilipuzi pisto 1 na risasi 3.
Njooni na ushaidi mzito Mbowe asitoboe. Muwe siliasi. Msitupeleke vikwazoni Kama Zimbabwe.
Maswali mazuri sana haya, maswali fikirishi. Kuna watu wana ubongo wa sisimizi hawawezi kuelewa points zilizomo kwenye maswali hayo.Kinachonifikirisha ni kwa nini mtuhumiwa wa kosa kubwa kama hili aliachwa huru wakati washirika wake wamekamatwa! Hivi hakujua kuwa washirika wake wamekwisha kamatwa na dili limebunguluka?
Kwa nini alikuwa anaenda nchi za nje na kurudi alijiamini nini? Au walikuwepo washirika wakubwa zaidi waliokuwa wanampa ujasiri na asichukue hatua yeyote kujilinda?
Kwa nini alipewa nafasi kwenye sherehe kule Mwanza kuongea mbele ya Rais? Ngoja nisubiri mashahidi wengine pengine nitapata jibu, la sivyo kwangu ni ngumu kumeza.
Kesi hii ni kama ngoma ya Sengeli ya kinamama ndani ya madela.Ukweli mchungu NI kuwa toka mama arudi ameingia kwenye dira za kimataifa za diplomasia. Ameenda ughaibuni na amekuja na Zawadi kibao.