Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

Akiwa mpambanaji kwako haitoshi!?

Kila mtu ana mtazamo wake kwa vitu kutokana na uelewa wake

Akikupambania wewe inatoshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hoja ya Mbatia itakuwa imekugusa kweri kweri 😁😁.

Pole lakini.
 
Asiwababaishe anavyoongea kwa hisia. Mbatia ni mpuuzi tu na mkabila. Eti kesi ya mbowe inavunjia heshima taifa na kumvunjia rais heshima? Hakika mbatia inafaa aombe radhi asifikiri yeye ni mtu muhimu sana nchi hii anaweza onyesha dharau kwa rais na uongozi wa nchi.
Ikiwa marekani waliwakamata waarabu pote dunia na kuwapeleka kwenye kisiwa wanakimiliki kule cuba kujibu mashtaka ya ugaidi ndio iwe ajabu kwa mbowe kutakiwa ajibu shutuma za ugaidi?
Kesi inaendelea na mahakama inafanya kazi yake.
Mbatia aache upuuzi kama anataka aende kuhubiri kanisani maana inaonekana angefaa uchungaji kuliko kua mwanasiasa.
Steeve nyerere
 
Mh. Mbatia analiona jumba bovu:

View attachment 2039160

Siyo siri wanaomtakia Mama mema, maoni yao si tofauti na haya.
Record inaonesha Mbowe hakuwa n.a. Fujo sanaa enzi za Magufuli. Na hata hizo mambo za katiba hakuzifanya enzi za Magufuli, enzi za Mama akaripuka kana kwamba dharau kama zote akaanza kujidai kama vile Utopolo ndio wanaongoza nchi, Mwanamke huwa hapendi hata kuhisi tu kwamba jinsia inatumika kumdharau.

Ishu ya Mbowe ni matokeo ya dharau za mihadhara kuzurura na kauli Utopolo za kutisha dhidi ya govt ya mama.

Mbowe misbehaved akaanza na speedy resurgence ya ujio mpya wa uchadema,uharakati na upupu wa kumdharau Mama.

Hio haipogo kbsa tena kipindi cha mpito na majonzi.

Zile harakati za kivuvuzela madharau ni tusi la kejeli mithili ya uhaini wa kuhamasisha mapinduzi hasa dhidi ya makatazo kabla ya lifting Au dissolving.
 
Record inaonesha Mbowe hakuwa n.a. Fujo sanaa enzi za Magufuli. Na hata hizo mambo za katiba hakuzifanya enzi za Magufuli, enzi za Mama akaipuka kana kwamba dharau kama zote akaanza kujidai kama vile Utopolo ndio wanaongoza nchi, Mwanamke huwa hapendi hata kuhisi tu kwamba jinsia inatumika kumdharau.
Ishu ya Mbowe ni matokeo ya dharau za mihadhara kuzurura na kauli Utopolo za kutisha dhidi ya govt ya mama.
Mbowe misbehaved akaanza na speedy resurgence ya ujio mpya wa uchadema,uharakati na upupu wa kumdharau Mama.
Hio haipogo kbsa tena kipindi cha mpito na majonzi.

Zile harakati ni tusi la kejeli mithili ya uhaini wa kuhamasisha mapinduzi hasa dhidi ya makatazo kabla ya lifting Au dissolving.

Kwa hiyo unathibitisha suala la Mbowe ni personal issue ya Mbowe na Mama?
 
Oooh tutafanya nchi nzima sawa sasa tuendelee kufanya kwa akina Segedea

Nchi zinaendeshwa kwa kufuata katiba. Suala la Mbowe kwa hoja yako ni kumchongea mama kuwa yuko nje ya kiapo chake.

IMG_20211211_081853_259.jpg

Kumbuka hata ugaidi kesi, tuhuma ni za kipindi cha Magufuli.

Kama rais kumbe kambambikia kesi kwa chuki zake binafsi?
 
Record inaonesha Mbowe hakuwa n.a. Fujo sanaa enzi za Magufuli. Na hata hizo mambo za katiba hakuzifanya enzi za Magufuli, enzi za Mama akaripuka kana kwamba dharau kama zote akaanza kujidai kama vile Utopolo ndio wanaongoza nchi, Mwanamke huwa hapendi hata kuhisi tu kwamba jinsia inatumika kumdharau.

Ishu ya Mbowe ni matokeo ya dharau za mihadhara kuzurura na kauli Utopolo za kutisha dhidi ya govt ya mama.

Mbowe misbehaved akaanza na speedy resurgence ya ujio mpya wa uchadema,uharakati na upupu wa kumdharau Mama.

Hio haipogo kbsa tena kipindi cha mpito na majonzi.

Zile harakati za kivuvuzela madharau ni tusi la kejeli mithili ya uhaini wa kuhamasisha mapinduzi hasa dhidi ya makatazo kabla ya lifting Au dissolving.
CHUKI BINAFSI TATIZO JINSIA YA KIKE NA KATIBA MPYA NI CHUKI TU NO UGAIDI
 
Kwa hiyo unathibitisha suala la Mbowe ni personal issue ya Mbowe na Mama?
Serikali yake ule ni uhaini kbsa kwa mtazamo given the baseline situation ya uwepo wa makatazo ya enzi za Magufuli. Patience ya kuomba negotiations ilihitajika sana.

Mind you a women is new in the office Ana umugia wa ofisi alafu uanze kumtisha na kumvuruga unadhani atapata utulivu wa kutafakari ushauri mkomoo Au mkomoeni kwa mdwanzi wake.

Ni ishu simple sana msingi ni dharau na utovu wa nidhamu simple as that.
 
Sidhani mkuu. Hii ni kesi ya mapolisi, makarao na wa namna hiyo.

Hata huko CCM mbona nao wana mawazo kama Mbatia tu? Vinara wao wakiwamo kina johnthebaptist wamejitanabaisha hivyo kwa maneno na vitendo.

Wanasisitiza - Maendeleo hayana Chama!

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kuna watu wapiga pesa kwenye uandaaji wa kesi Hadi inavyoendelea , wamejiwekea malengo yao kifedha kupitia kesi ya kutengeneza.....ni project ya watu Fulani hawakubali iishe bila kumaliza miradi yao
 
Serikali yake ule ni uhaini kbsa kwa mtazamo given the baseline situation ya uwepo wa makatazo ya enzi za Magufuli. Patience ya kuomba negotiations ilihitajika sana.

Mind you a women is new in the office Ana umugia wa ofisi alafu uanze kumtisha na kumvuruga unadhani atapata utulivu wa kutafakari ushauri mkomoo Au mkomoeni kwa mdwanzi wake.

Ni ishu simple sana msingi ni dharau na utovu wa nidhamu simple as that.

Kumbe Mbowe anashitakiwa kwa kesi ya kubambikiziwa.

IMG_20211211_081853_259.jpg

Alikuwa safi kipindi cha Magufuli. Ila kaveshwa kesi ya kipindi cha Magufuli.

Ngoja tuone. Wanaomuasa kuwa ni jumba bovu wana hoja.
 
Nchi zinaendeshwa kwa kufuata katiba. Suala la Mbowe kwa hoja yako ni kumchongea mama kuwa yuko nje ya kiapo chake.

View attachment 2040064

Kumbuka hata ugaidi kesi, tuhuma ni za kipindi cha Magufuli.

Kama rais kumbe kambambikia kesi kwa chuki zake binafsi?
Magufuli alikataa huo ushauri (rumours) mkomoo au mkomoeni a.k.a ripoti mkomoo. Hio kesi kifungo ni upepo tu sanaa sanaa labda fine, meanwhile inasaidia kwenye spinning za hapa na pale.

Hio ni tuition ya Adabu, public disorderly cause, inciting public into violence.

Ghadhabu kwa Kiongozi asiemkalipiaji dhidi ya asilotaka hufanywa na vyombo.
 
Asiwababaishe anavyoongea kwa hisia. Mbatia ni mpuuzi tu na mkabila. Eti kesi ya mbowe inavunjia heshima taifa na kumvunjia rais heshima? Hakika mbatia inafaa aombe radhi asifikiri yeye ni mtu muhimu sana nchi hii anaweza onyesha dharau kwa rais na uongozi wa nchi.
Ikiwa marekani waliwakamata waarabu pote dunia na kuwapeleka kwenye kisiwa wanakimiliki kule cuba kujibu mashtaka ya ugaidi ndio iwe ajabu kwa mbowe kutakiwa ajibu shutuma za ugaidi?
Kesi inaendelea na mahakama inafanya kazi yake.
Mbatia aache upuuzi kama anataka aende kuhubiri kanisani maana inaonekana angefaa uchungaji kuliko kua mwanasiasa.
Usidhalilishe Ugaidi mpuuzi wewe. Wakipiga dunia nzima inabweka.
 
Back
Top Bottom