Kesi ya Mbowe; Umejifunza nini kipya?

Nimejifunza kuwa sehemu ya kutoa haki Tanzania kumbe imekua sehemu ya kunyima haki.
Kumbe serikali inaweza kughushi mambo na kubambikia watu Kesi,
Kumbe serikali inaweza kutengeneza mashahidi wa uongo.
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Kumbe wasiojulikana walikuwa ni kina Kingai, Jumanne, Goodluck na genge lao.
 
Kikubwa nilichojifunza ni hiki👇
AIgmal.jpg
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Nimegundua serikali ya sasa inaongozwa na form 3 A. Uwezo wa kutafakari ni mdogo. Kesi haina mashiko

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Hakuna jipya,
Kinachoendelea kiliwapata wapinzani wa Museveni,Uganda,kiliwakuta wapinzani wa Kenyata(wa kwanza)na Wa Moi,kimewakuta wapinzani wa Putin kule Russia,ukichunguza,"modus operandi"ya corrupt authoritarian Regimes zote,zinafanana kabisa.
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Nawaza hiki kifaa cha mahakamani kinachotumika na mawakili wa pande zote kinachoitwa"MAPINGAMiZI" kinaweza kutumika vibaya mahakamani na kikaharibu haki za watu,kitendo cha kukosea utaratibu,nukuu,mhusika kinaweza kumnyima haki aliye na haki yake.nafikiri haipendezi machoni pa Bwana.
 
Mimi nimeona makosa haya yametoka moja kwa moja jwtz.

Inaonekana kilikua na mnyororo wa hawa makomandoo walikua wanatafutwa kupewa kesi.

Lakini pia jwtz wanatengeneza bomu litakalowalipukia wenyewe huko na baadae kunahatari ya jeshi kuleta shida kwabaadae.

Hivi,!!
Inawezekanaje mtu.umemfundisha mambo.makubwa hadi.kufikia kiwango cha kuaminiwa kwenda kulinda amani nje ya nchi.halafu anapatwa na ugonjwa kazini unashindwa kumlipa hata kafidia kidogo angalau kama anamke au hata.wazazi wake kulipwa chochote.

Anafikia kwenda kuhangaika kuomba kibarua cha ulinz kwa mtu binafsi.
Nimeona kuna yule aliamua kwenda kuomba kazi ya kuvunja mawe mtwara kwa mchina.

Mimi naona jeshi lenyewe limehusika kuwasariti makomandoo hawa.na kunahatari vijana wenzao wakiamka kuhusu upuuzi wa aina hii kunasiku kambi zitawaka moto kuanzia kwa wakubwa hadi mtaani.

Mabeyo kwenye awamu yake naona anaudhaifu mkubwa na yeye juu ya haya yanayotokea juu ya vijana wake.

Jeshi lingeweza kuwatetea kwa vyovyote.kingai.asingeweza kufanya aliyoyafanya kwa makomandoo hawa.

inaonekana kunavijana wengi.huko jeshini kwa staili hii wanaonewa na hawana pa kusemea. Hili ni bomu kubwa ,kuna siku litawalipukia wenyewe.
 
Nimejifunza kuwa ccm imeshindwa kabisa siasa za majukwaa inatumia,,polisi mahakama kujinusulu na kubaka madaraka
 
Kwanini nimesema hivyo. Watu WOTE wanailaumu TAASISI ya Polisi,lakini si kweli. Polisi hawezi kufanywa Jambo la kujiunga NAMNA hii. Kwanini !!Haiingii Akilini,Askari Kama si wanne NI watatu,wakamate watuhumiwa ,Moshi. Ili Hali waosio Polisi WA Moshi,Wana vituo vyao vya kazi. Wawende Tabora wakamate,ili Hali si vituo vyao vya kazi,WAende Mwanza wakamate nakonsi vituo vyao vya kazi. Watese ilihali hakuna sheria ya Polisi kutesa. Hawa sio Polisi,kunankitu nyuma Yao. NI KIKUNDI MAALUMU cha uhalifu kwenye kivuli cha Upolisi. Nimaoni yangu NI MTIZAMO wangu, NALITETEA JESHI LA POLISI WAMEZIBWA MIDOMO SIKU WAKIFUNGULIWA TUTAAIKIA MAAKUBWA. NIMUDA UTASEMA
 
Back
Top Bottom