lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,137
- 33,195
Huyo dogo haelewi hii.Acha matusi bwana mdogo...Agosti 7/1998 ubalozi wa Marekani ulilipuliwa na bomu(Sijui ulikuwa na umri gani)..Maaskari wetu wakapita vijiweni kukamata wavuta bangi na wahuni wa kawaida..selo zote za vituo vya polisi Dar vilijaa vijana..wazee wa kazi CIA,FBI nk walikuwa hewani wanakuja kuchunguza Hilo tukio..baada ya masaa kadhaa wakatua Dar..moja kwa moja wanaenda kwenye tukio kufanya uchunguzi then wanaenda central kupata ripoti kwa Maaskari wetu..wakaambiwa wamekamatwa vijana wengi ..wakaomba wakawaone..kuwaangalia tu wakaamuru wote waachiwe(Aibu)..wanaume wakaanza kazi ndani ya masaa kadhaa
Khalfan Khamis Mohamed alikamatwa boda ya South Africa amefungwa Marekani maisha..Stori yangu ni kukumbusha hatuna uwezo wa kukamata magaidi labda wa mchongo Kama Mbowe..MBOWE SIO GAIDI HATA MAMA NYERERE ALISEMA NA MAMA MAKINDA PIA..MBOWE AKIFUNGWA MABEBERU YATATUWEKEA VIKWAZO HATA ULAYA NA MAREKANI HATUTAINGIA LETENI MICHEZO YA KIJINGA🙏
Aaah inawezekana wala sio dogo pengine ni mzee,hawaelewagibwaha watu,wenyewe kila kitu ni siasa tuu.