Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

Nakubaliana na mtoa hoja kwamba CCM hata kama watamfunga Mbowe kwa kesi hii ya kubambikiza wasidhani watakuwa salama, hiyo itaamsha ari kubwa mno kwa Watanzania kudai Katiba Mpya - ni kweli watu wote wanajua Mbowe kakamatwa na kuunganishwa kwenye kesi ya kubumba sababu ya kudai kwake katiba mpya ambaoyo si AGENDA ya CCM kwa sasa.

Mahakama yetu na CCM wajiangalie sana kuhusu huu mstari kwenye Biblia takatifu, ambao unaweza kuwapa matatizo makubwa sana.

Habakuki 1:4​

Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu haipatikani; kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki; kwa sababu hiyo hukumu inayotolewa huwa imepotoshwa.
 
Wakati akiendelea naharakati za katiba mwanza alikuwa na kesi mahakamani,na wenzake walikuwa wameshakamatwa kitambo,aliyebakia alikuwa ni yeye pekee,na hakuwa amekamatwa kwa sababu alikuwa Dubai,hivyo alivyokuja tu akajificha haraka katika mwavuli wa katiba mpya.ili ndio iwe KINGA yake!( YThe man are so intelligent)
Kama alikuwa ameshafunguliwa kesi mahakamani, kwa nini alikuwa nje mpaka kupata nafasi ya kwenda dubai? Tilia maanani pia kuwa kesi ya ugaidi haina dhamana,
 
Kumbuka hakuwepo Tanzania kwa kipindi kirefu tu.toka wale wenzake wakamatwe
Kipindi kirefu kwako kinaanzia muda gani? Unatuchosha kwa akili zako ndogo.
Mbowe alishiriki uchaguzi akazunguka nchi nzima alikamatwa???
Huko Dubai alikaa miaka mingapi? Alikwenda kwa kutoroka au aliaga?
Kama huna cha kuchangia kaa kimya usilete ujuha wako humu
 
Nasema kwa kulazimisha kwa sababu Kila mtu anajua Mbowe sio Gaidi.
Kingai anajua,
Mahita anajua,
Jaji Siyami anajua,
IGP anajua CCM wanajua,
Mashehe,Mapadri,wachungaji mitume na manabii wanajua.
Watu wengi makini wanajua Mbowe sio Gaidi.

Kama ni kweli alitaka "kumdhuru" Sabaya Basi huo sio Ugaidi bali ni uhalifu wa Kawaida kabisa,ingefaa ashitakiwe kwa kosa la kutaka kumdhuru au kumuua Sabaya lakini sio Ugaidi.
Ugaidi ni kosa kubwa mno hapa Duniani na lina Sheria zake namna ya kutambua kuwa kosa hili ni Ugaidi ama kosa hili ni uhalifu wa Kawaida.
Ugaidi una hukumu kali Sana.

Tazama hili,
Mabalozi wa nchi za magharibi mara baada tu ya Serikali kumtangaza Mbowe kuwa anashitakiwa kwa kosa la kutaka kufanya Ugaidi,wamekua wakihudhuria mahakamani mara kadhaa,
Mbowe sio Mzungu,sio Marekani,sio Mjerumani wala sio mswidishi,sasa ni nini kinachowapeleka mahakamani?

Hebu jiulize hili,uliwahi lini na wapi mabalozi wa nchi kubwa hizo wakienda Mahakama za nchi walizokaribiahwa kusikiliza Kesi?

Je wameenda kusikiliza Kesi ya Sabaya?
Je walienda kusikiliza Kesi iliyokua inamkabili Mbowe na wenzake baada ya kifo cha Akwilina?

Je walienda kusikiliza Kesi ya Zombe?

Au uliiwaona wakienda kusikiliza Kesi ya milionea yule wa Arusha aliyeuawa kwa kupigwa risasi?.

Je unadhani wanampenda sana Mbowe na chadema na akina Adamoo?

Iko hivi,Wamarekani na wazungu wa West ni waathirika wakubwa wa mambo ya ugaidi,hivyo wamefanya tafiti nyingi Sana za kijasusi juu ya ugaidi,wanajua network zote za magaidi hapa Duniani.
Hatuji tu hao wanaoenda mahakamani ni watu wa aina gani,Kati ya hao kuna Watu Wa FBI,CIA,Mossad,MI6 na mashirika mengine.
Wenzetu hawachukulii mambo kwa wepesi au kipuuzi.

Wenzetu ukitamka tu neno Gaidi,masikio yao na macho yao yako wazi masaa 24 kujua nani Gaidi na nani sio.ndio maana Kesi hii wameipa kipaumbele kikubwa Sana.

Watakua wamefuatilia na kujua kabisa Kesi hii imetengenezwa kwa chuki za kisiasa na malengo yake.
Inawezekana wanajua ujinga wote na waliolibuni .

Jaji wa zamani Augustine Ramadhani aliwahi kusema hivi.
Kuwa Kesi zote huwa zinaendeshwa ndani ya Mahakama na nje ya Mahakama.
Maana yake ni kwamba wakati Kesi inaendelea mahakamani huku mitaani pia watu hufuatilia,hujadili,hutoa ushahidi,huchambua,hupinga,hukubali,husikiliza na kuona kama haki inatendeka ama haitendeki.
Kwa sababu huku mitaani kuna mashuhuda ambao hawakuenda mahakamani kuwa mashahidi lakini wanajua mambo yote.wanajua kila kitu.
Kwa hiyo hukumu itakayo tolewa watajua kama ni hukumu ya haki ama ya uonevu.
Ndio maana utasikia watu wengi wakisema ama Kesi imeamuliwa kwa haki ama kwa uonevu.
Kwa sababu wanaifuatilia kila kitu na kuna baadhi wanajua ukweli.

Kesi za kisiasa hasa za Wapinzani dhidi ya serikali ya CCM.

Kesi za kisiasa hasa za Wapinzani dhidi ya serikali mara nyingi huwa zinaamuliwa kwa uonevu na mara nyingi maamuzi huwa hayatokani na maamuzi huru.
Ipo mifano.

Kesi ya mgombea binafsi iliyofunguliwa na Mtikila,

Kesi za kupinga matokeo ya Urais.

N.k.

Hawa mabalozi wa West kila baada ya Kesi ya Mbowe wanapewa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Kesi.

Serikali ya Samia imeonesha kutaka kurudisha mahusiano ya kimataifa tofauti na yule "gangwe".

Na mama anasafiri kwelikweli kutaka serikali yake ipewe heshima yake kimataifa,sasa Hawa wa magharibi wao wanatazama Sana demokrasia na haki za binadamu.

Je kama Mbowe akihukumiwa unafikiri watakaa kimya tuu.
Unafikiri kwenda kwao mahakamani kuna ashiria nini?

Wananchi wataipokeaje hukumu ya Mahakama kama Mbowe atafungwa?

Unajua kuwa kuna Wana CCM wanakerwa Sana na Kesi hii?

Unajua kuna viongozi wa baadhi ya vyombo na taasisi wanakerwa na Kesi hii?

Kama Mbowe akifungwa kwa kulazimisha, Unafikiri ni nini kitatokea.?
 
Hayo ni maoni yangu ndugu,mbona unanifokea?
Ukitaka kufanya jambo lolote angalia matokeo kama yatakua na faida ama hasara.
Kuna watu walikataa vyama vingi visije lakini Nyerere akashawishi vije,unafikiri Nyerere alikua mjinga?
 
Itaathirika sana familia yake na chama chake kwa muda but sisi wengne tunaendelea na maisha
 
Wacha haki itendeke bwege wewe. Wacha kutisha watu. Hakuna malaika ktk watuhumiwa hao. Yote yanawezekana so don't blackmail the justice
Acha matusi bwana mdogo...Agosti 7/1998 ubalozi wa Marekani ulilipuliwa na bomu(Sijui ulikuwa na umri gani)..Maaskari wetu wakapita vijiweni kukamata wavuta bangi na wahuni wa kawaida..selo zote za vituo vya polisi Dar vilijaa vijana..wazee wa kazi CIA,FBI nk walikuwa hewani wanakuja kuchunguza Hilo tukio..baada ya masaa kadhaa wakatua Dar..moja kwa moja wanaenda kwenye tukio kufanya uchunguzi then wanaenda central kupata ripoti kwa Maaskari wetu..wakaambiwa wamekamatwa vijana wengi ..wakaomba wakawaone..kuwaangalia tu wakaamuru wote waachiwe(Aibu)..wanaume wakaanza kazi ndani ya masaa kadhaa

Khalfan Khamis Mohamed alikamatwa boda ya South Africa amefungwa Marekani maisha..Stori yangu ni kukumbusha hatuna uwezo wa kukamata magaidi labda wa mchongo Kama Mbowe..MBOWE SIO GAIDI HATA MAMA NYERERE ALISEMA NA MAMA MAKINDA PIA..MBOWE AKIFUNGWA MABEBERU YATATUWEKEA VIKWAZO HATA ULAYA NA MAREKANI HATUTAINGIA LETENI MICHEZO YA KIJINGA🙏​

Nasema kwa kulazimisha kwa sababu Kila mtu anajua Mbowe sio Gaidi.
Kingai anajua,
Mahita anajua,
Jaji Siyami anajua,
IGP anajua CCM wanajua,
Mashehe,Mapadri,wachungaji mitume na manabii wanajua.
Watu wengi makini wanajua Mbowe sio Gaidi.

Kama ni kweli alitaka "kumdhuru" Sabaya Basi huo sio Ugaidi bali ni uhalifu wa Kawaida kabisa,ingefaa ashitakiwe kwa kosa la kutaka kumdhuru au kumuua Sabaya lakini sio Ugaidi.
Ugaidi ni kosa kubwa mno hapa Duniani na lina Sheria zake namna ya kutambua kuwa kosa hili ni Ugaidi ama kosa hili ni uhalifu wa Kawaida.
Ugaidi una hukumu kali Sana.

Tazama hili,
Mabalozi wa nchi za magharibi mara baada tu ya Serikali kumtangaza Mbowe kuwa anashitakiwa kwa kosa la kutaka kufanya Ugaidi,wamekua wakihudhuria mahakamani mara kadhaa,
Mbowe sio Mzungu,sio Marekani,sio Mjerumani wala sio mswidishi,sasa ni nini kinachowapeleka mahakamani?

Hebu jiulize hili,uliwahi lini na wapi mabalozi wa nchi kubwa hizo wakienda Mahakama za nchi walizokaribiahwa kusikiliza Kesi?

Je wameenda kusikiliza Kesi ya Sabaya?
Je walienda kusikiliza Kesi iliyokua inamkabili Mbowe na wenzake baada ya kifo cha Akwilina?

Je walienda kusikiliza Kesi ya Zombe?

Au uliiwaona wakienda kusikiliza Kesi ya milionea yule wa Arusha aliyeuawa kwa kupigwa risasi?.

Je unadhani wanampenda sana Mbowe na chadema na akina Adamoo?

Iko hivi,Wamarekani na wazungu wa West ni waathirika wakubwa wa mambo ya ugaidi,hivyo wamefanya tafiti nyingi Sana za kijasusi juu ya ugaidi,wanajua network zote za magaidi hapa Duniani.
Hatuji tu hao wanaoenda mahakamani ni watu wa aina gani,Kati ya hao kuna Watu Wa FBI,CIA,Mossad,MI6 na mashirika mengine.
Wenzetu hawachukulii mambo kwa wepesi au kipuuzi.

Wenzetu ukitamka tu neno Gaidi,masikio yao na macho yao yako wazi masaa 24 kujua nani Gaidi na nani sio.ndio maana Kesi hii wameipa kipaumbele kikubwa Sana.

Watakua wamefuatilia na kujua kabisa Kesi hii imetengenezwa kwa chuki za kisiasa na malengo yake.
Inawezekana wanajua ujinga wote na waliolibuni .

Jaji wa zamani Augustine Ramadhani aliwahi kusema hivi.
Kuwa Kesi zote huwa zinaendeshwa ndani ya Mahakama na nje ya Mahakama.
Maana yake ni kwamba wakati Kesi inaendelea mahakamani huku mitaani pia watu hufuatilia,hujadili,hutoa ushahidi,huchambua,hupinga,hukubali,husikiliza na kuona kama haki inatendeka ama haitendeki.
Kwa sababu huku mitaani kuna mashuhuda ambao hawakuenda mahakamani kuwa mashahidi lakini wanajua mambo yote.wanajua kila kitu.
Kwa hiyo hukumu itakayo tolewa watajua kama ni hukumu ya haki ama ya uonevu.
Ndio maana utasikia watu wengi wakisema ama Kesi imeamuliwa kwa haki ama kwa uonevu.
Kwa sababu wanaifuatilia kila kitu na kuna baadhi wanajua ukweli.

Kesi za kisiasa hasa za Wapinzani dhidi ya serikali ya CCM.

Kesi za kisiasa hasa za Wapinzani dhidi ya serikali mara nyingi huwa zinaamuliwa kwa uonevu na mara nyingi maamuzi huwa hayatokani na maamuzi huru.
Ipo mifano.

Kesi ya mgombea binafsi iliyofunguliwa na Mtikila,

Kesi za kupinga matokeo ya Urais.

N.k.

Hawa mabalozi wa West kila baada ya Kesi ya Mbowe wanapewa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Kesi.

Serikali ya Samia imeonesha kutaka kurudisha mahusiano ya kimataifa tofauti na yule "gangwe".

Na mama anasafiri kwelikweli kutaka serikali yake ipewe heshima yake kimataifa,sasa Hawa wa magharibi wao wanatazama Sana demokrasia na haki za binadamu.

Je kama Mbowe akihukumiwa unafikiri watakaa kimya tuu.
Unafikiri kwenda kwao mahakamani kuna ashiria nini?

Wananchi wataipokeaje hukumu ya Mahakama kama Mbowe atafungwa?

Unajua kuwa kuna Wana CCM wanakerwa Sana na Kesi hii?

Unajua kuna viongozi wa baadhi ya vyombo na taasisi wanakerwa na Kesi hii?

Kama Mbowe akifungwa kwa kulazimisha, Unafikiri ni nini kitatokea.?
123524628-roy-moore-quote-i-stand-before-the-court-of-the-judiciary-because-ive.jpg
 
Back
Top Bottom