Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

Shahidi;Afande Boazi alimshauri Dennis Urio, aendelee kutoa ushirikiano na kushirki vitendo hivyo lakini aendelee kuripoti vitendo hivyo polisi

Duu japo mimi si mwanasheria mpaka hapo mbona gaidi ameshajulikana... hivi unaweza kuletewa taarifa ya uhalifu kupangwa kufanyika mahali na kiongozi akashauri fanyeni halafu ulete taarifa?
ukisikia intelijensia ndio hiyo mkuu.

mnaandamana nao
mnapanga nao
mnaiba nao
mnawanga nao
mnakula nao

mkiagana wanakwenda polisi.
mahakama inawajua,na wana kinga maalumu,jinchanganye kuwafuata.
 
Kwakweli yani takataka la lumumba linajiona lina akili kuliko mabalozi matajiri wa huko Scandinavian countries ambao hata dawa zake za maukimwi wanatoa wao.
Huyo NDUGU anatakiwa kuhurumiwa.
Ingefaa basi tuungane kumwombea kwa Mungu, ili ampokee roho mtakatifu aweze kupata nguvu ya kumkemea shetani na kuyakataa mambo yake yote.
 
Ukicheki mtiririko wa maelezo ya ushahidi wa huyu shahidi namba mbili, mtu aweza kugundua bila shaka yeyote kuwa hakukuwa na tukio hilo analolitolea ushahidi...!!

Maelezo yake yako shaghala baghala kuonesha kuwa ni tukio la kutengenezwa (kubumba) kwa kusudi maalumu na ili atupiwe mtu waliomlenga wapate sababu ya kumshtaki na kumtesa. Na aliyelengwa obviously ni Freeman Mbowe...

Kuthibitisha hili, subirini mtaona namna atakavyojichanganya ndani ya 18 ya cross examination ya ushahidi wake toka upande wa mawakili upande wa utetezi...!
 
Ukicheki mtiririko wa maelezo ya ushahidi wa huyu shahidi namba mbili, mtu aweza kugundua bila shaka yeyote kuwa hakukuwa na tukio hilo analolitolea ushahidi...!!

Maelezo yake yako shaghala baghala kuonesha kuwa ni tukio kutengenezwa kwa kusudi maalumu na kutupiwa waliomlenga. Na aliyelengwa ni Mbowe...

Kuthibitisha hili, subirini mtaona namna atakavyojichanganya ndani ya 18 ya cross examination ya ushahidi wake toka upande wa mawakili upande wa utetezi...!
Kibatala lazima amko..jo..ze huyu Kingayai
 
RCO Arusha unapigiwa simu kuwa kuna njama za kiahalifu zinafanyika mkoa wa Kilimanjaro unaenda kuchunguza je una jurisdiction gani mkoa wa Kilimanjaro? Hakuna RPC na RCO mkoa wa Kilimanjaro?

Kwanini hakutoa taarifa kwa wenye mamlaka ya kipolisi katika mkoa huo walishughulikie? Yeye alivuka mipaka yake kwa kibali gani? Kwanini hajaeleza ni kwanini alivuka JURISDICTION yake kwenye mkoa mwingine?

Je alikuwa na maslahi binafsi katika kufuatilia hizo njama?

Kingine ni kuhusu dawa za kulevya. Je kwanini hati ya mashtaka haikuwa na makosa hayo ya kukutwa na dawa za kulevya? Maana tuliambiwa ni tuhuma za ugaidi, kupanga njama za kuua viongozi na kulipua vituo vya mafuta. Hilo la madawa ya kulevya limetokea wapi leo?

Tayari tushaanza kuona legal loopholes. Natumaini mawakili wasomi wanayaona hayo madhaifu.
 
Back
Top Bottom